Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

Huna lolote mbwiga wewe. Mwenzio kapiga mkwanja mrefu we umekaa na majungu tu humu. Mwanaume mzima unakuwa na tabia za kishangingi. Na ndio maana unaishi Mombasa na tabia hizi sikushangai.

Sasa mwenye tabia za kishangingi ni wewe au mimi? Watu wameniomba mrejesho wa show na nimewaeleza. Whats wrong with you? uTeam utakuuwa pervert!!! Tatizo ni elimu sikulaumu. You are so uncouth and naive. Go back to school bro.
 
Ila wanaume wa kileo walaini sn, kutwa mnalialia ajira kwa nini hii nguvu na mapovu yote mlotoa humu usitumie kuuza hata karanga!!!???? Shame on you
 
Sasa mwenye tabia za kishangingi ni wewe au mimi? Watu wameniomba mrejesho wa show na nimewaeleza. Whats wrong with you? uTeam utakuuwa pervert!!! Tatizo ni elimu sikulaumu. You are so uncouth and naive. Go back to school bro.

Kama wewe mwenye elimu ndio unashinda humu kutwa nzima kusengenya tu, sasa elimu yako ina maana gani?
 
Kama wewe mwenye elimu ndio unashinda humu kutwa nzima kusengenya tu, sasa elimu yako ina maana gani?

If u argue with a fool that makes u a fool. Sorry, i dont have time for that. You won buddy. Okay? You won.
 
Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.
Bora umeongea ww diamond maisha yake ya sifa Sana wanasemaga maskini akipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…