Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
- Thread starter
- #121
Huna lolote mbwiga wewe. Mwenzio kapiga mkwanja mrefu we umekaa na majungu tu humu. Mwanaume mzima unakuwa na tabia za kishangingi. Na ndio maana unaishi Mombasa na tabia hizi sikushangai.
Sasa mwenye tabia za kishangingi ni wewe au mimi? Watu wameniomba mrejesho wa show na nimewaeleza. Whats wrong with you? uTeam utakuuwa pervert!!! Tatizo ni elimu sikulaumu. You are so uncouth and naive. Go back to school bro.