Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Ally Mufuruki ..huyu huyu aliechangia kufilisi Air Tanzania akiwa na yule jamaa wa Africa kisuni au mdogo wake??
Nakubaliana na wewe kuwa huyu ALi MFURUKI NI MJANJA MJANJA MMOJA HAPA MJINI. Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka kuwa huyu bwana aliwahi kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa board ya ATC [shirika letu la ndege ] na akiwa na wadhifa huo ndio akatuingiza ubia na shirika la ndege la Afrika ya Kusini [SAA]. Ubia kati ya mashirika haya mawili ulikuwa kwa faida zaidi ya wenzetu kuliko shirika letu kiasi kwamba ATC ilibambikizwa madeni hewa under Mfuruki's watch kumbe huku yeye alikuwa anavuta mkwanja kwa njia za kiwizi!!
Hata hiva sasa bado shirika na ndege la Africa Kusini linadai ATC Fedha nyingi ambazo huko mbele zinaweza kusababisha ndege zetu mara zikitua huko zikakamatwa kwasababu ya ufisadi wa huyu bwana na genge lake!! Ni mnafiki anyejifanya kuwa ni mzalendo kumbe ni muongo anayeishi kwa Ujanja Ujanja tu wa TAX AVOIDANCE/ EVASION!!!
Kumbe bado tupo ambao tunaokumbuka haya. Halafu tukisema tunaweza kuonekana ni Hater