Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

Ally Mufuruki ..huyu huyu aliechangia kufilisi Air Tanzania akiwa na yule jamaa wa Africa kisuni au mdogo wake??

Kumbe bado tupo ambao tunaokumbuka haya. Halafu tukisema tunaweza kuonekana ni Hater
 
Naona watu wamechoka usanii wasmagu na bashite, wanaanza kufunguka
 
Hebu tupeni Cv ya Ally Mufuruki wakuu.

Huyu jamaa atakuwa hajasoma UDSM aisee hii ni Havard Bussiness School (HBS) or Massachusetts Insititute Of Technology (MIT) maana kwenye masuala ya viwanda jamaa yuko well informed.

Over
Musipende kuhusudu bhla-bhla za TV, mitandao na redio. Hilo ni zinga la Tapeli ambalo halijastukiwa. Ana historia chafu ya uaminifu wake. Asemayo ni mitandao tu kama hiyo ya akina Zitto na Bashe. Leo akisoma hiki kesho ni ufahamu wake.
 
Amesahau sukari imekosa wateja imejaa kiwandani

[emoji252] [emoji479]
 
Sera ya viwanda inabidi ifanyiwe marekebisho.
1. Kuchagua specifically aina gani ya viwanda tunavitaka
Sera ya viwanda inabidi ifanyiwe marekebisho.
1. Kuchagua specifically aina gani ya viwanda tunavitaka
Kwani sera ya sasa hivi Ina mapungufu yapo?
Secondly wawekezaji wapo huru kutegemeana Na maono ya Mwekezaji mwenyewe, anataka ku wekeza kwenye nini??
Lakini historically Na emphasis imekuwa Ktk value addition ya Mazao tunaozalisha iwe kahawa , Pamba nyanya etc. Kwa hiyo hii kitu hahitaji sera au serekali kuwa specifically kwamba labda Morogoro au Iringa kiwepo Kiwanda Cha ku process nyanya etc .
Kuhusu Kilimo kwanza ingawa utekelezaji wake haukufikia 50% ya Uwezo wa nchi lakini hata hapa tulipo uzalishaji wa Kilimo Kama Mahindi etc umekuwa mkubwa kuliko mahitaji Na kusababisha bei kupungua hivyo kiti hasa Za serikali ku wekeza Ktk miundo mbinu upo sawa ili Mazao hayo yaweze kusafirishwa kwenda sehemu zingine au kuwa processed etc
Kuhusu utafiti hapo yupo sawa Na ndio maana tunaibiwa Kama ulivyokuwa mkataba wa saa Na Atc ambapo yeye akapewa uwenyekiti wa board
 
Musipende kuhusudu bhla-bhla za TV, mitandao na redio. Hilo ni zinga la Tapeli ambalo halijastukiwa. Ana historia chafu ya uaminifu wake. Asemayo ni mitandao tu kama hiyo ya akina Zitto na Bashe. Leo akisoma hiki kesho ni ufahamu wake.
Shida kubwa ya watz mtu akijua kuongea sanaa watakuambia"dah jamaa ni very smart"

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika hisia. Nimetafuta fact, sijaona sehemu yoyote. Una fact yoyote?

Viwanda vingi vilivyoanzishwa enzi za Mwalimu, vilianza kufa na kutengeneza hasara katika kipindi chake. Je, kwa sababu vilisababisha hasara na madeni, Mwalimu alikuwa mjanja mjanja?

Hata wewe unaweza kuanzisha mradi wako, na usipate faida au ukaishia kwenye madeni makubwa yasiyolipika. Kupata hasara au faida havina uhusiano wa moja kwa moja na wizi au uwezo mdogo wa msimamizi.

Jifunzeni kuchangia kwa hoja na siyo kuchangia kimajungumajungu. Sijui kwa nini Watanzania wengi hawana uwezo wa kujenga hoja. Uwezo wao unaishia kujenga majungu.
 
Wanasoma google wanakuja kutujaza matango pori.
Huyu, Tundu, Zitto wote ni wataalam wa ku google halafu wanajifanya wanashusha nondo haswa.
Habari za acaccia,bombadier, dreamliner na matakataka yote yapo mtandaoni ila sio ya bashite tu na mgambo wake za kusafisha.
Muwe wepesi tu kufukunyua mambo yote yameandikwa haya ila mtu anatafsiri anajifanya kwenye mahojiano yy ndo mtaalam kavumbua.
Hakuna wasomi makanjanja km wabongo.
Mtu anaitwa profesa lugha yenyewe ya malkia anaungaunga.
 
Unajua Woolworths capital yake au unaona n km za kariakoo?? Apo unakuta unatoa dharau Hz ht kibanda huna[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ally Mufuruki ..huyu huyu aliechangia kufilisi Air Tanzania akiwa na yule jamaa wa Africa kisuni au mdogo wake??

Ni bora ukajidili hoja zake na yeye ukaachana naye mkuu..
 
Musipende kuhusudu bhla-bhla za TV, mitandao na redio. Hilo ni zinga la Tapeli ambalo halijastukiwa. Ana historia chafu ya uaminifu wake. Asemayo ni mitandao tu kama hiyo ya akina Zitto na Bashe. Leo akisoma hiki kesho ni ufahamu wake.
Hebu tiririka hapa huo utapeli wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…