Aliacha shule haikupita muda tukasikia amerukia sumalia

Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada

Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya gereji

Kwenye gereji kweli ukiwa na kichwa chepesi pesa ipo

Alienda gereji moja inamilikiwa na mtu mwenye asili ya sumalia au yemen hivi

Ila hakukaa sana tukasikia yupo sumalia

Facebook akawa anarusha picha kwenye muonekano tofauti na ule wakwake ndefu zikawa zimeshuka sana ule utanashati haupo tena

Ila imepita miaka kadhaa hajapost tena

Huyu kijana ni alikuwa jirani km ndugu tu aliishi na bibi yake wazazi wake walishauvua mwili wa binadamu muda sana

Sasa kwa kufikiri tu sidhani km mtanzania anaweza kuzamia kutafuta maisha sumalia

Sumalia kuna fursa kuliko TZ?
Picha
 
Aisee
 
Huyo bnana ameshakutana na wenye imani zao, na kumpandikiza sumu!! Siku moja usije shangaa jina lake liko kwenye orodha ya wanaotafutwa na USA!!
 
Inawezekana amejikita kwenye dini zaidi ndio sababu haonekani fb.
Hakuna ulevi mbaya kama dini
 
Story za kutunga ili kuchafua watu fulani kwa sababu ya chuki tu,eti Sumalia!
 
Maisha yake,hatima yake mwenyewe iwe nzuri au mbaya.
 
Huko kuna biashara nyingi haram ikiwemo drug trafficking.
Mnaweza mkashikilia ugaidi kumbe mwenzenu ameenda kuuza ngada na akapotelea alipopotelea.
 
Back
Top Bottom