Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia

Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake

Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa mda flani, mwaka 2020 akafungiwa mitandao yote wakati wa uchaguzi mkuu

Pasipo yeye kuja alikuwa anaanda kitabu ambacho kitatumika hata yeye akiwa hayupo

Leo katuachia a beautiful playbook ambayo itaitesa nchi miaka sana ijayo kama magufuli aliweza kwani mimi nisifanye
Here we are........
 
Katika mambo ambayo magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia

Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake

Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa mda flani, mwaka 2020 akafungiwa mitandao yote wakati wa uchaguzi mkuu

Pasipo yeye kuja alikuwa anaanda kitabu ambacho kitatumika hata yeye akiwa hayupo

Leo katuachia a beautiful playbook ambayo itaitesa nchi miaka sana ijayo kama magufuli aliweza kwani mimi nisifanye
Here we are........
Labda kabla ya hapo ulikuwa hujazaliwa!!? Mbona hata wakati wa JK mitandao ilifungiwa? Ulikuwa unaufahamu mtandao wa 'The Utumu'?
 
Kuna watu SI unit yao ni Magufuli, badala ya ku deal na tatizo liliopo basi inakuwa Magufuli naye alifanya hivi , alifanya vile. Huyu jamaa hajui hata hii jamiiforums mwanzo ilikuwa jamboforums wakati wa Kikwete ikapigwa pini wakabadili jina kuja jamii.
 
Ukweli usioupenda kuusikia kikwete hakuwahi kufungia mitandao wakati wa uchaguzi wa 2005, 2010 na 2015 simtetia hapana

Huwezi fananisha uhuru wa habari wakati wa kikwete na magufuli
 
Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia

Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake

Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa mda flani, mwaka 2020 akafungiwa mitandao yote wakati wa uchaguzi mkuu

Pasipo yeye kuja alikuwa anaanda kitabu ambacho kitatumika hata yeye akiwa hayupo

Leo katuachia a beautiful playbook ambayo itaitesa nchi miaka sana ijayo kama magufuli aliweza kwani mimi nisifanye
Here we are........
Dennis hata Kikwete alifungia vyombo vya habari.

Kwa wasio wachanga wanakumbuka changamoto lililopitia gazeti la mwanahalisi na waandishi wake kina Kubenea.
 
Naamini kabisa magufuli si wa kusahaulika leo wala kesho na hata kesho kutwa !
Atakuwa marejeo kwa mengi, hii ni kuonyesha alikua ni zaidi ya kiongozi aliye wahi kuwepo katika taifa hili.
 
Dennis hata Kikwete alifungia vyombo vya habari.

Kwa wasio wachanga wanakumbuka changamoto lililopitia gazeti la mwanahalisi na waandishi wake kina Kubenea.
Pamoja na mapungufu ya kikwete huwezi fananisha press freedom wakati wa magufuli na kikwete
 
Kuna watu SI unit yao ni Magufuli, badala ya ku deal na tatizo liliopo basi inakuwa Magufuli naye alifanya hivi , alifanya vile. Huyu jamaa hajui hata hii jamiiforums mwanzo ilikuwa jamboforums wakati wa Kikwete ikapigwa pini wakabadili jina kuja jamii.
Mimi kama kuna kitu kinanikata maini ni thought yenye double standards.

Watu wanasahau kilichowakuta waandishi wa habari au baadhi ya vyombo vya habari kipindi cha Kikwete.
 
Tumesahau tu... tuliijua mabwepande kipindi cha nani!!

Mabomu ya Arusha au kuuliwa kwa waandishi wa habari si juzi tu hapa 2012o
Huyu labda alikuwa bado yuko kijijini kwao Kintinku hivyo mambo ya jiji la Dar alikuwa hayajui.
 
Tumesahau tu... tuliijua mabwepande kipindi cha nani!!

Mabomu ya Arusha au kuuliwa kwa waandishi wa habari si juzi tu hapa 2012o
Ndo maana nikakuambia kulikuwa na mapungu ila hali ilikuwa na afadhali sana mfano mimi miaka ya 2005 mpaka 2015
Tundu lisu alikuwa anaalikwa kwenye kipima joto anatema cheche za hatari

Niambie sahivi ni nani anaweza kwenda kwenye vyomba vya habari kuanzia kipindi cha magufuli akaongea kama lisu kipindi kile cha kikwete
 
Huyu labda alikuwa bado yuko kijijini kwao Kintingu hivyo mambo ya jiji la Dar alikuwa hayajui.
Jambofuraha na jamiiforums ya Leo ni mbingu na ardhi huwezi fananisha kuanzia isadadi ya watu wenye account ambao ni member na guest
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Ukweli usioupenda kuusikia kikwete hakuwahi kufungia mitandao wakati wa uchaguzi wa 2005, 2010 na 2015 simtetia hapana

Huwezi fananisha uhuru wa habari wakati wa kikwete na magufuli
Ila mwandishi Mwangosi alipigwa bomu wakati wa utawala wake. Sasa kupiga bomu kuna nafuu kuliko kufungia ?
Mwandshi mwingine alimwagiwa tindikali akiwa kwenye utekelezaji wa majukumu yake.
 
T
Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia

Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake

Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa mda flani, mwaka 2020 akafungiwa mitandao yote wakati wa uchaguzi mkuu

Pasipo yeye kuja alikuwa anaanda kitabu ambacho kitatumika hata yeye akiwa hayupo

Leo katuachia a beautiful playbook ambayo itaitesa nchi miaka sana ijayo kama magufuli aliweza kwani mimi nisifanye
Here we are........
Tuhangaike na jimama. Let Magufuli rest.
 
Back
Top Bottom