Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake.
Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM mpya utamaduni. Ana sifa za hovyo za ubadhirifu akiwa msaidizi binafsi wa yule spika aliyejiuzulu, kama vetting ingefanyika hafai kuwa KM ni vile tu ana vinasaba na uhusiano na yule DGIS mstaafu kutoka Tanga ambaye kwa sasa anaendesha nchi kwa mlango wa nyuma.
Tazama uteuzi wa Mkwe na Swahiba wake kuongoza Wizara nyeti, wote wa dini moja na marafiki pendwa unganisha dots na ziara za juzi za mtu ambaye hakutambulishwa jina ila aliitwa mwanaukoo wa ufalme wa UAE utaelewa wazi kuwa huyu kiongozi wetu kishaanza kuwa kama mtangulizi wake marehemu. Sifa zao kuu ni wizi, upendelevu wa ndugu zao, udini na ueneo.
Kama tulivyomkemea marehemu huyu naye tunamtaka cache ujinga huu wa kuigawa nchi.