Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ningeshangaa kama ungeunga mkono ilhali kila mkeka unausoma kwa shauku uone kama umekumbukwa😂😂😂😂Hebu tuache hizi mambo za hovyo hovyo!. Presidential appointment powers ni sole and exclusive rights za rais wetu kuwachagua wasaidizi anao ona watamfaa hivyo anafanya appointment at her pleasure as she pleases na teuzi hizi hazihojiwi na yoyote wala kuingiliwa na yeyote!. Tusitake kimnyooshea vidole too much tukataka kumtia vidole hadi machoni.
Jielimishe zaidi hapa Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Na kuhusu mwendo, japo ni kweli alianza vema na anakwenda akibadilika na hili hata mimi nililisema Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...
Ila tunako kwenda ni kuzuri Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote
P
Mungu asikie hitaji lako umesubiri sana