Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

wa kuigawa nchi.

ANATUPELEKA PABAYA! aNAANZA KUZUNGUKWA NA DINI YAKE, KABILA LAKE LA ZENJI, CCM AND THE LIKE! aTALIGAWA TAIFA. tIME WILL TELL!
 
Tuungane kudai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Tutafanikiwa kuondoa Ombwe hili la UONGOZI.

Maana ikitokea sku moja tukampata kiongozi mkuu Kutoka BUKOBA mjini,

Tutakoma😃😃😃😃😃
 
Mkuu bado una mawazo mfu kama ya Mwendakuzimu kuwa ni dini moja tuu inapaswa kupewa lion's share ya appointments?
Angalia teuzi zote tutajie ni wapi dini ya mteuzi ni wengi.
Ukishindwa kindly 😷
utakuwa wa dini yke kwani huoni!
 
Watu wengi hawaijui Katiba imempa madaraka ya aina gani Rais wa Nchi !! Hata Mwalimu aliiogopa alipokuwa nje ya madaraka !!
 
Tuungane kudai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Tutafanikiwa kuondoa Ombwe hili la UONGOZI.

Maana ikitokea sku moja tukampata kiongozi mkuu MUHAYA,

Tutakoma😃😃😃😃😃
Yeyote yule wa kutoka kabila lolote lile huwezi ukamjua atakuwaje akishakaa pale !! Wote uliopata kuwasikia Duniani wakifanya vimbwanga vya kuogopesha hawakujulikana kama wangekuwa vile !! Watu wengi ni hodari sana wa kuficha makucha yao !! Hasa watu wa namna hizo !! Ndio maana huwa Wanasemaga Rohoni kwa mtu ni mbali !!!
 
Kwani Wazanzibar si wanajulikana kwa udini na ubaguzi.
 
Hayo ni maoni yako na hayawezi kuwa authority na ukweli usemwe
 
Ili kuweka mambo sawa watu wasilaumu uteuzi wa upendeleo wa dini. Uteuzi uwe sawa kwa dini zote za ukristo na uislamu.
Tuone watu wa dini gani watafaidika.
Sidhani Kama nchi hii ilishawahi tokea teuzi za waislamu zikazidi za wakristo, Mara zote ni kinyume chake
 
Ndugu Pascal Mayalla ,naomba mantiki ya wewe kuweka rejea ya nyuzi zako kwenye karibu kila mchango wako hapa jamvini.
Ni kujimwambafai TU ,Huyo Ni Moja ya vijana wazee waliokosa Mchango wa maana kwa Taifa ,,yaani afadhali hata mwalimu wa shule ya msingi aliyefundisha miaka kumi anamchango mkubwa kwa Taifa kuliko Huyo msaka Teuzi... Nipo tayari kuitwa kilaza nipo hapa kwenye kivuko kinachokarabatiwa kwa 7Billions.
 
Mkuu bado una mawazo mfu kama ya Mwendakuzimu kuwa ni dini moja tuu inapaswa kupewa lion's share ya appointments?
Angalia teuzi zote tutajie ni wapi dini ya mteuzi ni wengi.
Ukishindwa kindly 😷
Halafu hao wanateuliwa hata hawajui Alif Laam Mim ipo kitabu gani..

Watu wanaacha kujadili Hali ya Nchi wanajadili,,,
 
Mkuu bado una mawazo mfu kama ya Mwendakuzimu kuwa ni dini moja tuu inapaswa kupewa lion's share ya appointments?
Angalia teuzi zote tutajie ni wapi dini ya mteuzi ni wengi.
Ukishindwa kindly 😷
Hili la dini linaonekana sasa...wakati wa Mungu wao walikuwa kinyaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…