Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

Ningeshangaa kama ungeunga mkono ilhali kila mkeka unausoma kwa shauku uone kama umekumbukwa😂😂😂😂

Mungu asikie hitaji lako umesubiri sana
 
Crap
 
Hili la dini unatazama dini moja Tu?
Hakuna wizara zenye watu wa dini moja zingine?.. au dini moja ndo makosa kukaa Wengi wizara moja?
Unaweza weka wizara zote hapa tuone mawaziri na makatibu tuone wapi Rais alipokosea?
 
Hili la dini unatazama dini moja Tu?
Hakuna wizara zenye watu wa dini moja zingine?.. au dini moja ndo makosa kukaa Wengi wizara moja?
Unaweza weka wizara zote hapa tuone mawaziri na makatibu tuone wapi Rais alipokosea?
Rais hana ubaguzi wowote wa dini !! Ukitazama katika teuzi zake zote utaona wanaolalamika ndio wa upande wao wameteuliwa wengi !! Acheni hizo Nchi hii bado haijawa na udini udini wa namna hiyo !! 🙏🙏🙏
 
Acha kujifariji. Hakuwahi kuanza vizuri popote.
Huko tuendako hata machawa wake mtamgeuka, ni suala la wakati tu.
 

Hapa tulipofikia ni Mwenye Enzi Mungu tu asimame na kututetea wana nchi wa Tanzania [emoji1241] jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
ANATUPELEKA PABAYA! aNAANZA KUZUNGUKWA NA DINI YAKE, KABILA LAKE LA ZENJI, CCM AND THE LIKE! aTALIGAWA TAIFA. tIME WILL TELL!

Kenya wametangaza kuwa wamefilisika na yote ni kama sababu ulizotaja hapo juu!
Tufanye nini?
Bali tunaye Mwenye Enzi Mungu ambaye ni mweza wa yote!
Ehh Mola kumbuka nchi yetu Tanzania [emoji1241] tulivyo ipigania Africa mpaka nchi zote ziwe huru, kumbuka damu za ndugu zetu waliokuwa wana letwa mabox na mabox[emoji24][emoji24][emoji24]sisi wananchi tukala chakula cha farasi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]rudi ehhh Mwenye Enzi Mungu usituache maana tuna angamia jamani uwiii Mola wangu na Rabuka wangu rudi utukomboe nchi yetu Tanzania [emoji1241][emoji24][emoji24]
 
Mkuu mpaka awamu hii ikimaliza mudawake kama hujapata teuzi nitajiuliza kwa nini.
You seem to be very wise person.
 
Anaweza teua yeyote ila siyo wa chama cha upinzani.
 
Tunasubiri tu huyu dada amalize muda wake tuanzie alipoishia mwendazake tuwachanganye wote manake wana kesi moja kubwa ya kujibu kwa watanzania.
 
Yaani mnatakiwa kujua "NYANI MPYA MSITU NI ULE ULE TU"
 
Ndo mana nliachaga kufatilia siasa Za tz,,, pasua kchwa knoma.
 
Pasco niambie kitu kimoja. Unataka kazi ya serekali na chama!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…