Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack

Tumbo limekuvuruga! Mwaka huu mtavaa chupi kichwani
 
Yupo tayari kwa hatua zozote ila hatocheza Yanga.
uNaposema adhabu unadhani inatisha basi?
Just 4 months.
 
Kama kuna hole kwenye mkataba?
Kama aliahidiwa chochote na hakikutumia, ataenda bure.

Kama alitimiziwa yote kwa wakati basi Yanga atapata compensation lakini Fei ataondoka.
hio loophole wanasheria wake hawajaiona mpka sasa?
 
Hii wiki hata usingizi huwezi kupata unampambania mwanao wa kufa na kuzikana [emoji23] kweli uchawi upo
 
Huyu ng'ombe hatoboi ukame huu wamchinje wauze hata makongoro tu kwa wauza supu.
 
Kopi ya mkataba unayo!!??
ama unapiga kelele za vijiweni!!??
Wabongo kwa ujuaji mbuzi bana.
Ujuaji huu unaniambia kwa nini anahangaika ivi? Jiulize wewe mwenyewe kwa nini hivi mara Karume mara Jasmine mara kavunja mkataba mara kapeleka ombi la kutaka kuvunja mkataba?

Haya yote wewe huoni kama ni tatizo? Mimi nimereason sijafanya ujuaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bush lawyer naona bado unapambana tu.

Hawakusema watatoa ripoti public hiyo ripoti wanapewa wahusika wao ndio wataamua kama ku publish au wakae nayo.

Halafu unaposema TFF wanafanya mambo kinyume na utaratibu ili kutubeba ingekua vizuri uka specify ni wapi wameenda kinyume.

Wewe huwa huchoki kufanya accusations za uongo uongo ili mradi usikose cha kusema. Ila sisi tushakujua huna jipya katafute vingine vya kufanya
 
Bora wameamua kuwa wapole na kufuata taratibu, Najua kitakachofuata hapo TFF wataambiwa warudi Yanga wakazungumze terms za kuvunja mkataba, hapo sasa Yanga watamshushia rungu kwamba wanahitaji B1 mezani ya kuvunja mkataba au B1 kwa club inayomtaka 😀 au iamue kumfungulia mashitaka mengine ya utoro kazini na ukosefu wa nidhamu 😀
 
Sielewi vizuri Shauri la Yanga lilipelekwa kwa mtindo gani ( ntafuatilia nikipata time).
Ila Vyovyote vile fei ataondoka yanga, na adhabu yake sio kubwa kiasi cha kuogopesha.
We jamaa utalaumiwa sana kwa ushauri mbovu! Unampoteza Fei na kipaji chake kitaisha kwa kuhangaika kuvunja mkataba kihuni Maana kwasasa hachezi mpira!
Yanga ni taasisi kubwa inaendeshwa kwa Sheria na taratibu , mambo ya kihuni hayana nafasi kwenye Sheria!
Yanga Haina shida Tena na huduma ya Fei kinachotakiwa aende Mezani na timu inayomtaka wapewe bei 1B walipe wasepe nae!
 
Kwani lazima acheze mpira, anaweza akawa muimbaji wa TAARAB!
 
Barua ya yanga inasema tofauti.
 
Sielewi vizuri Shauri la Yanga lilipelekwa kwa mtindo gani ( ntafuatilia nikipata time).
Ila Vyovyote vile fei ataondoka yanga, na adhabu yake sio kubwa kiasi cha kuogopesha.
Usiombe itokee hii ndoto unayoota. Kama adhabu haitakuwa ya kuogopesha tegemea vurugu kubwa kutokea hako mbeleni. Ndiyo utakapoona Kapombe,Chama,Inonga, Manula, Shabalala watakavobebwa kisela na team pinzani kwa matarajio ya kupewa adhabu isiyo ogopesha. Wanachokifanya Yanga,Simba waiombee Yanga ishinde katika sakata hili. Vinginevyo Simba itawakuta. Maana Yanga nayo ni watu wa visasi. Ukitaka kuthibitisha hili angalia walivyolipa kisasi kwa Moroson kwa kumsajili kutoka Simba na hawajali hasara itakayowafika. Subiri mtayaona haya
 
Kwani Kuna mtu amemlazimisha kubaki yanga au umesikia yanga wanamhitaji Sana fei ila utaratibu anaotaka kutumia kuondoka haupo sahihi anafanya uhuni na hao wanaomhitaji wanaogopa kufanya biashara wanajua gharama iliyopo
Mchezaji anayelipwa Mil 4 kwa mwezi atakuwa na gharama gani kama sio kutaka kuleta ugumu tu na kulazimisha mambo
Mchezaji wa mshahara kama huo thamani yake haiwezi fika hata mil 100
 
Mchezaji anayelipwa Mil 4 kwa mwezi atakuwa na gharama gani kama sio kutaka kuleta ugumu tu na kulazimisha mambo
Mchezaji wa mshahara kama huo thamani yake haiwezi fika hata mil 100
Kweni mauzo ya wachezaji huwa yanaangalia mshahara wa mchezaji au release clause yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…