Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack

Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack

Usiombe itokee hii ndoto unayoota. Kama adhabu haitakuwa ya kuogopesha tegemea vurugu kubwa kutokea hako mbeleni. Ndiyo utakapoona Kapombe,Chama,Inonga, Manula, Shabalala watakavobebwa kisela na team pinzani kwa matarajio ya kupewa adhabu isiyo ogopesha. Wanachokifanya Yanga,Simba waiombee Yanga ishinde katika sakata hili. Vinginevyo Simba itawakuta. Maana Yanga nayo ni watu wa visasi. Ukitaka kuthibitisha hili angalia walivyolipa kisasi kwa Moroson kwa kumsajili kutoka Simba na hawajali hasara itakayowafika. Subiri mtayaona haya
Simba anahusika nini?
Ndiye anamsajili Fei?
 
Sielewi vizuri Shauri la Yanga lilipelekwa kwa mtindo gani ( ntafuatilia nikipata time).
Ila Vyovyote vile fei ataondoka yanga, na adhabu yake sio kubwa kiasi cha kuogopesha.

Hakuna aliyepinga kwamba feisal hatoondoka yanga ila lazima ufuate taratibu za kuvunja mkataba ,kwenye kazi hizi nyingine za kuajiriwa imewekwa wazi kabisa ,ukitaka kuvunja mkataba(kuacha kazi) kwanza lazima utoe notice kwa mwajiri either 24 hrs notice au one month notice ,ukitoa 24hrs inabidi umlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja na kama kuna vitu walikupatia eg courses n.k inabidi uwalipe.

Kwa case ya feisal yeye alikurupuka tu hakutoa notification ndiyo maana Yanga walirudisha hiyo 112m aliyotoa maana hawajui ya nini isije ikawaingiza kwenye kashfa ya Money Laundering ,pili Rage amesema kama Mama feisal amesema kwamba mwanae ana maisha magumu yanga mpaka kufikia hatua ya kupanda bodaboda na kula ugali kwa sukari ,je hizo 112m amezitoa wapi? Kama ni mkopo kwanini akope ili tu awape yanga avunje mkataba akae benchi,je atarudishaje mkopo akiwa benchi? Yanga wamesema huyo mtu aliyoko nyuma ya feisal wakae nao mezani wamnunue tu.
 
Back
Top Bottom