Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Kwani Feisal Yeye anataka kurudi Yanga au anataka kuomdoka?
Halafu kama TFF inamlazimisha kwa kumwambia yeye ni Mchezaji halali wa Yanga , je kuna adhabu yoyote ile wamempa? maana amekuwa ni mtoro kazini kwa muda mrefu sasa. Ifike mahali Yanga wakubali kwamba kama Ng'ombe kagoma kunywa maji hata kama anayaona wasimlazimishe.
Yanga ni km nao wanatengeneza mtego wao kimya kimya….
Muda ukifika watamnasa sio kwamba ni wajinga na wanajua hafiki kazini lkn kuna pahala wanamsikilizia na toto Mwenyewe anajipeleka