Usiombe itokee hii ndoto unayoota. Kama adhabu haitakuwa ya kuogopesha tegemea vurugu kubwa kutokea hako mbeleni. Ndiyo utakapoona Kapombe,Chama,Inonga, Manula, Shabalala watakavobebwa kisela na team pinzani kwa matarajio ya kupewa adhabu isiyo ogopesha. Wanachokifanya Yanga,Simba waiombee Yanga ishinde katika sakata hili. Vinginevyo Simba itawakuta. Maana Yanga nayo ni watu wa visasi. Ukitaka kuthibitisha hili angalia walivyolipa kisasi kwa Moroson kwa kumsajili kutoka Simba na hawajali hasara itakayowafika. Subiri mtayaona haya