Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta.

Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama.

Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia.

Jazba mihemko na mara zote kila ikitolewa hoja nzito hujibiwa na watu wasio na uwezo wa kujenga hoja Bali ni vijana waropokaji na majibu yao hutolewa kwa vijembe
Nauliza hiyo 4r inayohubiriwa majukwaani haya yako r ya ngapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…