Alianza Nyerere, Sokoine, Tundu Lisu, Mwabukusi, Kisha Askofu Gwajima

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma,

Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press,

Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba?

Kwa tulipofikia,

Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya chama tawala awezaye kutuvusha,

Na mkimwona wa Nini mkamtimua,

Ataibukia Jumba la mfalme kama Yusufu.

Mungu Mbariki Nabii wetu mzalendo Askofu Gwajima,

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Hao wote linapokuja Suala la uchumi ni bureee kabisa

Dunia ya Sasa inataka watu wanaoleta majibu ya Changamoto za kiuchumi sio hadithi na propaganda zisizo na faida.
 
Uchumi wa muuza bandari na visiwa?

Ubinafsi na kukosa maono mbaya sana
Huo huo ilimradi umeleta majibu ya kiuchumi badala ya Uchumi wa wapiga Domo with nothing kwenye pocket.

Una jingine uulize?
 
Huna akili
Tangu lini wajamaa kama wewe mswa na akili na majibu? 😆😆

Umeshashindwa hoja saa umekimbilia kule ambako akili Yako inaweza.

Nasisitiza wote hao linapokuja Suala la uchumi rubbish ila Kwa mbumbumbu kama wewe ni mashujaa
 
Welfare ya Wananchi kuwa Bora in all aspects.

Sasa hao kina Sokoine Kuna kipi Cha maana walifanya?

Umeona kuna mtu anafuata porojo zao?
Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
 
The Chanzo tv imelazimishwa kuondoa video za press ya Gwajima kwa kigezo Cha kukosa mizania.

Sasa watafuata tuliyoyasikia akilini mwetu?
 
Vipi Mtikila?
Mtikila alikuwa na ukosoaji wa kisayansi kama wa Dr Slaa, lkn Self anointed Bishop Gwajima, ni mtu wa Kiki za kisiasa ili kuboost biashara ya utapeli wa kanisani kwake.
 
Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!
Wewe na Hawa wanaojikomba Kwa Ruto ndio unawaona wa maana Kwa sababu vibaraka wao wamepewa dozi? 😁😀

Hakuna treaty Wala porojo yeyote ambayo inaweza halalisha wakundustan kuja kuvuruga amani Tanzania.

Waambieni wachinjane harafu tutakuka kuwasuluhisha.

Mwisho waambieni kwamba Wanatakiwa kujadili njaa Yao ya mara Kwa mara,Nchi Yao inaongoza Kwa ufisadi na hawana hata aibu kuitwja Tanzania na pia wanauana Kila mwezi,hatuna Cha kujifunza Kwa loosers.
 
Mtikila alikuwa na ukosoaji wa kisayansi kama wa Dr Slaa, lkn Self anointed Bishop Gwajima, ni mtu wa Kiki za kisiasa ili kuboost biashara ya utapeli wa kanisani kwake.
Kumbe watu kutekwa ni kiki sio!

Itisha press uwaseme watekaji uone kiki zitakuwaje!
 
Hii ni michezo na watanzania tulivyo wepesi kujaa tumejaa kweli,wamekaaa pembeni wanagonga wine wanasema tayari mchezo umekwisha.
Nchii hiii basi tu
 
Nani anagonga cheers?

Watu hwalali kwa kukosa usingizi kwa Press Ile hujui ww!
 
Back
Top Bottom