Alianza Nyerere, Sokoine, Tundu Lisu, Mwabukusi, Kisha Askofu Gwajima

Hao wote linapokuja Suala la uchumi ni bureee kabisa

Dunia ya Sasa inataka watu wanaoleta majibu ya Changamoto za kiuchumi sio hadithi na propaganda zisizo na faida.
Uchumi upi kwenye maji yaliyokorogeka! Kabla kuzungumzia uchumi lazima uweke misingi ya utawala bora, HAKI, utu, uwajibikaji, uzalendo!
Uchumi uchumi uchumi wakati kwa Siri mnapora rasilimali za taifa??
 
Kwani kama hakuna haki na hizo blaa blaa zingine ndio vinazuia uchumi kunawiri?

Hayo mnayoita Haki na ujinga mwingine sio mambo ya msingi,jambo la msingi ni amani na pesa ipatikane na watu wale bata.

Hiyo kazi hao wote walishindwa ni zero brain.Here is the Uchumi we am talking about 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DJ8wtrLtAaf/?igsh=MWwzcm9tbHNncjE3OQ==

Hizi figures utazikuta awamu ya Samia tuu,wale wengine walikuwa wanauza empty words Kwa nyie wajinga.
 
Mwehu tuh,na ni akili za kijinga tuh kuona kama Gwajima ni mtu wa kumzingatia.

Mtu anafikia hatua ya kusema anaweza fufua WAFU na kuponya vipofu wakapata kuona still watu wanamuona ni mwenye NAFASI ya kusikilizwa?

Na ni yule mwendazake tuh aliemleta huyu mwehu bungeni hata kama kwa wananchi hakukubalika,na Bado hajakubalika hadi sasa.
 
Kwani kama hakuna haki na hizo blaa blaa zingine ndio vinazuia uchumi kunawiri?

Hayo mnayoita Haki na ujinga mwingine sio mambo ya msingi,jambo la msingi ni amani na pesa ipatikane na watu wale bata.

Hiyo kazi hao wote walishindwa ni zero brain.Here is the Uchumi we am talking about 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DJ8wtrLtAaf/?igsh=MWwzcm9tbHNncjE3OQ==

Hizi figures utazikuta awamu ya Samia tuu,wale wengine walikuwa wanauza empty words Kwa nyie wajinga.

Hizo fedha zinafanya nini kinachomnufaisha mwananchi?
 
Back
Top Bottom