Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

TV iliharibika au aliiharibu hahaha!
Mkuu au demu hakuwa na mvuto!
Wenzio huwahawaachi cha bure!
Okay 31 huoni kuwa umechelewa kuoa!?
Huna mpenzi real je unafanya masturbation aka punyeto Mara ngapi kwa wiki?
 
TV iliharibika au aliiharibu hahaha!
Mkuu au demu hakuwa na mvuto!
Wenzio huwahawaachi cha bure!
Okay 31 huoni kuwa umechelewa kuoa!?
Huna mpenzi real je unafanya masturbation aka punyeto Mara ngapi kwa wiki?
Iliharibika kweli.
Huyo binti alikuwa ni mzuri shombe shombe hivi, halafu alikuwa anaishi peke yake na hakuwa na bwana, then amejaa zile neema[emoji38] [emoji23] lakini ilibidi nisimamie maslahi yangu. Vizuri ni kwamba ukijua unachokitafuta hupati shida.
Hao mafundi wengine wanaotumia hizo kama fursa kikawaida huwa kipato chao hakizidi na badala yake kinapungua.
 
Mkuu huwa tunakula kwanza halafu misimamo baadae[emoji23] [emoji23]
Utasimulia nn ukizeeka!
Jibu part two ya swali hilo
 
TV iliharibika au aliiharibu hahaha!
Mkuu au demu hakuwa na mvuto!
Wenzio huwahawaachi cha bure!
Okay 31 huoni kuwa umechelewa kuoa!?
Huna mpenzi real je unafanya masturbation aka punyeto Mara ngapi kwa wiki?
Mimi kwasasa ni baba wa familia, nina mke na watoto wawili.
 
Mkuu huwa tunakula kwanza halafu misimamo baadae[emoji23] [emoji23]
Utasimulia nn ukizeeka!
Jibu part two ya swali hilo
Unapokuwa kwenye kutafuta dumu kwenye kile ukitafutacho, ana shida ya kifaa chake mtatulie na wewe upate maslahi yako, ukienda kinyume na hivyo mwisho wa siku ujue tu unakosa malipo yako na kuanzia hapo wewe ndio unakuwa mtu wa kumtimizia yeye mahitaji yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…