Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari shemshem eee
Siku hizi tunasoma kimya kimyaSakayo
Shunie
Emmyta
Neybring
Mwifa
Young..
salama sana..umepoteaHabari shem
Kwa sasa kazi inayoniingizia kipato ni ufundi pekee, zamani kidogo niliwahi kuwa mchoraji wa plate namba za magari, maduka, mabango ya matangazo na kufanyia fitting nyumba.Unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato mbali na ufundi?
Nimeshafika DJSakayo
Shunie
Emmyta
Neybring
Mwifa
Young..
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Siku hizi tunasoma kimya kimya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]DJ ukimalizana na alibakari muhost huyu KK.
Nataka nijue umahiri wake wa kuchepuka hapa jukwaani maana carba anapumulia mashine(jokes)[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wanasema mafundi ni Malaya kweli hivi wakati mwingine huwa huwatamani Wateja au wao kukutamani wewe,vip unakwepa matamanio ya mwili mzee?Kwa sasa kazi inayoniingizia kipato ni ufundi pekee, zamani kidogo niliwahi kuwa mchoraji wa plate namba za magari, maduka, mabango ya matangazo na kufanyia fitting nyumba.
Mi nimo kimya kimya tangu umeanza nasubiri umalize nasi tuulize maswaliMy baby joanah
My sweetheart kapeace
Mkuu najua umekutana na visanga vingi vya kwenye mitandaoKwa sasa kazi inayoniingizia kipato ni ufundi pekee, zamani kidogo niliwahi kuwa mchoraji wa plate namba za magari, maduka, mabango ya matangazo na kufanyia fitting nyumba.
Nipo shemsalama sana..umepotea
Watu walilalamika wanashindwa kujifunza tunawapa nafasi wajifunze kwa utulivuChombezeni mjadala
Sikatai kuhusu hilo kwani ilishawahi kunitokea mwaka 2008, kuna mdada tv yake iliharibika then akanitafuta usiku wa saa 6, kweli nilifika kwake na kuicheki lakini mazingira niloyakuta ilibidi nijikaze kiume na kwa vile natambua nipo kwenye kutafuta ikanibidi nisimamie maamuzi yangu. Nilimuomba samahani kisha nikamwambia muda huu sifanyi kazi.Wanasema mafundi ni Malaya kweli hivi wakati mwingine huwa huwatamani Wateja au wao kukutamani wewe,vip unakwepa matamanio ya mwili mzee?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kule badoo nilichogundua ni kuwa kutokana na ugumu wa maisha kuna ndugu zetu wa kike, dada zetu na wengine ndugu zetu wa kiume, wanautumia ule mtandao kama fursa yao kutafuta kipatoMkuu najua umekutana na visanga vingi vya kwenye mitandao
Kuna kisa kimoja cha badoo embu simulia kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]