Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, one can earnestly believe.
Lowasa ni mgonjwa we mdigo,hatuhitaji hiyo fikirika yako.kama umemaliza vizuri utumishi wako na fanya mambo mengine kwa jamii na utaheshimika kuliko kuwa mtumishi wa maswahiba zako.Thank you Mr JM ...its now time to handle some serious business
Mkuu kumkosoa mzee Mwapachu kwenye kiingereza inabidi ujipange. Walisoma wakati shule zilikuwa na viwango na walimu walielimika vilivyo na kuheshimika kwenye jamii.Believe earnestly? U mean honestly?
Thank to mr juma mwapachu for his generous contribution to support Tanzanian political transformation.