Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Kwema kabisa yakhe. Nimeamua kuyaweka kando maboksi kwa muda na nimekuja kuwapa nguvu UKAWA......
Sasa sijui kama tutaweza kukivuka kizingiti cha NEC

Hili la NEC Ukawa walitakiwa kuliona toka zamani.
Hata ukawa wakipita ila itakuwa majeruhi sana.
 
Aiseeeeee Lowasa is a Leader and Magufuli is just a mere Manager. People want a Leader haahaahaaa kizungu shida sana
 
kumbe makufuli ni meneja alieteuliwa na kitengo afu mzee ngoyai ni kiongozi aliyechaguliwa na wananchi.

tarehe 25 october saa 4 asubuhi tuwaunge mkono wananchi kwa kumchaguwa mzee ngoyai.

Yaa mkwere c alimteua mkuu
 
This guy is very GENIUS...almost like me...!! Thanking you very much His Excellency Mapachu...really genius...!!

Anyway, anyhow, by any means

Lowassa kama Yesu...!!!
What???
Kuandika hivo inavodaiwa kaandika
Ndo kunamfanya awe genius?
 
Am going to elect someone who will lead me and not someone who will manage me.
Dah JM kanifumbua macho sana hapa
 
Hii sio kweli.. Mwapachu aliandika hii Jana.

Habari za Sumaye kuhama zimetolewa leo

Sasa kuna shida gani hapa, kipi muhimu hapa, huu ujumbe hauna time line, wengi hapa wana-discuss ujumbe ulioko kwenye maandishi ya huyu mzee Mwapachu...hawajali kaandika alfajiri, noon, au wakati jua linazama...
 
Kuna anayeweza kututafsiria haya maandiko? Inaelekea kuna uhondo ambao wengine tutaukosa kwa jinsi ulivyoandikwa kwa lugha ya malkia
 
Good observation. Will this tick in the current leaders' minds?
 
Dah....angekua mzalendo basi wengi tufaidi busara zake.

Hiyo english tena ya kiingereza kigumu...Dah, lakini nimeambulia point moja khs lida na meneja. Nimemuelewa na kanisaidia kufaham tofauti ya JPM na ENL.

Ndio maana mmoja alikumbushwa na hata raisi alisema wengine wanahitaji kukumbushwa, wamejizoesha kautaratibu kakuteliwa ndio maana "shukrani" ni nyingi kwy maneno yake kuliko ujasiri wa atafanya nini.

Wakati mwingine nashindwa kuelewa mgombea ni nani hasa upande ule kati ya anaeondoka na aliyechukua fomu.

Hujaniacha mbali, naona kama mgombea ni JK, John hajui nini cha kufanya,
Kuna uwezekano mkubwa JK akawa anamuendesha Magufuli kwa remote endapo atashinda urais,
 
Nadhani Mwapachu amependelea Magufuli kwa kumpa u manager.Sana alistahili u foreman ili awepo as close to the work as possible.
 
Yuko huru kutoa mawazo yake na sie CCM hatuna tabia ya kutoa matusi kujibu hoja ..asuburi oktoba ifike!

Mkuu jisemee mwenyewe, ni kweli huenda wewe huna hiyo tabia. Lakini sio CCM wote, mbona wapo wengi tu humu JF utafikiri wana kamusi ya matusi?!
 
Nami kidhungu kinanipita maili kadhaa lakini hii kitu nimeielewa vizuri.
Haya wanaodhani ICC inawaonea Waafrika pamoja na makuwadi wao wakae mguu sawa, mafuriko kwa vibakuri hayazuiliki! Anaposema 'trans formative readership' maana yake hakuna hata haja ya sijui ahadi au irani ya uchaguzi bali uhalisia wetu ndio utakaopima hatima yetu na sio kudanganyana.
 
What???
Kuandika hivo inavodaiwa kaandika
Ndo kunamfanya awe genius?



U.S baby...

Nyani mzima... much respect kwanza...!!

Watu tuna mahaba na Lowassa haya ni zaidi ya mapenzi...!!!

Tukiona mtu anamsifia Rais wetu chaguo la Mungu, Mwana wa Mungu,
E. Lowassa...

Haya ni mahaba... bcoz we LOVE HIM...!!!

#Nyani ..vipi North Korea nasikia wanataka kutuletea ngumi za mtaani...

North Korea na yule obessed kijana mdogo wanaweza kumtishia MKUU WA DUNIA U.SA...!!!?? Yule Kim Obesity inamsumbua i think...!!!
 
Mkuu kumkosoa mzee Mwapachu kwenye kiingereza inabidi ujipange. Walisoma wakati shule zilikuwa na viwango na walimu walielimika vilivyo na kuheshimika kwenye jamii.

Tell this fellow hon. Mwapachu has a PhD in literature.
 
This guy is very GENIUS...almost like me...!! Thanking you very much His Excellency Mapachu...really genius...!!

Anyway, anyhow, by any means

It is TIME for CHANGE...

Lowassa is the GREATEST LEADER...!!!

Lowassa kama Yesu...!!!

acha umbulula nakumkufuru Mungu! Lowasa kma Yesu? Mungu akusamehe ujinga wako navipande vichache vya tzs vilivyokulevya.
 
Back
Top Bottom