Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

In my view and a well considered one, Edward Ngoyai Lowassa will provide the much needed leadership that our country desperately requires. John Pombe Magufuli will only, in contrast, give us what he is best at, mere good management.
 
Agenda ya vijana ni ajira zenye staha..siyo Mabadiliko ya rangi za mavazi ya watawala.. Only Magufuli ndo ana mipango bora ya ajira kwa vijana.

mipango ipi kaka? Wakati urais wenyewe aliupata kama zali la mentali?

Alichokizungumzia jp ni kuonyesha tofauti ya kiongozi na mwagizwaji, magufuli hana sifa za kutosha kuongoza nchi kaka uo ndio ukweli wa mambo,

hata sasa hivi ali taifa linayopitia ni kukosa kiongozi kikwete naye anasifa kama za magufuli yaani mwagizwaji,
 
Wasomi wetu wengine wanapenda kuandika ili wananchi wasomena anakielewa kiswahili vizuri, nashangaa kwanini asiandike lugha ambayo watu wengi wanaielewa au lugha ya kiswahili haijakamilika kuna maneno mengine ya kingereza hayatafsiriki kiswahili vizuri au yanapoteza maana ukiyaandika kiswahili, inawezekana labda alilenga isomwe ndani na nje ya nchi.
 
Hawa ni watu wenye exposure na wanaoijua system so ni vyema wakaeleza wanachoamini kutuongezea fikra za kufanya maamuzi.
 
Yes, Hon. Mwapachu you are absolutely right, leaders shows the way while managers play implementation roles. The two scenarios resembled to whom you are taking about congratulations! You show us the way. You are a LEADER.
 
Sasa utamwambiaje hana cha kusema wakati umejibu usemi wake??

Utasemaje yeye ndo kakufikisha hapo ulipo ilhali wewe ndio kuwadi mkuu wa kuandika mashudu ya kuipamba CCM??

kuna uliloelewa hapo kwenye andishi au umefwata mvumo tu??

Hizo akili zako ni za magazeti ya Uhuru na IJUMAA hapo kwa Mwapachu huwezi elewa kitu labda mwenyekiti wako JK asome kisha aje akufafanulie kama mlivyo msubiri awafafanulie kuwa picha za mafuriko ni za kutengeneza!!!

Ni aibu kwa karne hii kuishi mithili ya wafu!!!

acha ujinga wewe, unakijuwa hata hicho chama cha chadema mjinga wewe? Unajuwa maana ya mapinduzi? Acheni kuwahada watanzania kwakufikiri ndan ya box badala ya nje ya box, sema ukweli Mwapachu ametoka wapi? Alikuwa wapi siku zote leo anaibuka na kingereza chake as if kwamba cc niwajinga sana? Acheni unafiki na mimi nasema wala sio ccm ila nimeapa siwezi kuwa mnafiki ktk hili, chadema wamejichimbia kaburi na mwisho tutawazika rasmi oct2015. Mwalimu aliwah kusema "mtu mwenye akili akija nakukwambia jambo lake lakijinga ukalifuwata anakudharau" chadema kwa mwenye akili imedharaulika na idara zote zakiusalama sii chama cha siasa ni chama cha makuwadi nawewe huniambii kitu hujuwi kitu tena ukae kimya hujuwi maana ya mapinduz ya kweli ukimuweka Lowasa na maiti bora uipigie maiti kura kuliko Lowasa. Lowasa hafai hata kuongoza kundi la mawe maana atayavunja akizani ndani kunadhahabu. Nimtu mpumbavu,mjinga na mwenye akili ndogo atakaa nakumpigia debe Lowasa. Ila yatapita haya na tutaheshimiana inshalah
 
Agenda ya vijana ni ajira zenye staha..siyo Mabadiliko ya rangi za mavazi ya watawala.. Only Magufuli ndo ana mipango bora ya ajira kwa vijana.

watu wa type yako ni wengi. magufuli anategemea ilani hana maono binafsi ni sawa na bendera. hizo ajira walishasema wengi lakini si ajabu hata wewe ni jobless lakini bado unaendelea kushabikia ujinga.. we need transformative gov not just a clean person..
 
Pamoja na ugumu wa kingeredha ujumbe huu walioupata wameamua.

Kifupi ujumbe ni kuwa Tanzania kwenye uchaguzi huu mchakato ni kati ya kiongozi mwenye maamuzi na mwelekeo(anayeonyesha njia ya alichokiamua) na mtawala/msimamizi anayefanikisha kutendeka kwa mambo. Mchuano upo kati ya Lowassa mwenye sifa za uongozi na Magufuli mwenye sifa tena nzuri ya utawala/usimamizi (anayetekeleza kilichoamriwa na mwingine).

Ni uchaguzi mgumu kati yetu tunayataka yote uongozi na usmamizi wa wajibu wa serikali.

Kazi iliyopo mbele yetu.

1. CCM ilishakasimu uongozi kwa kuingilia utawala kwa sababu ya uroho wa rasilimali.

2. Kunahitajika mabadiliko ya kurudi nyuma, kusimama tulipo au kusonga mbele upya kwa kufumua mfumo uliowekwa na CCM kuchanganya siasa na utendaji wa dola kwa kukosekana uongozi ndani ya CCM.
3. UKAWA wamepata zali wasilotegemea kwqa wakati.
4. Pamoja na kukosa rasilimali watu na nyenzo za mabadiliko itabidi watumie kila kilichopo kisafi na kichafu dhaifu na imara kuleta mabadiliko yo yote hasa la kuiondoqa CCM madarakani.
5. Mbinu chafu zitatumika na kila upande kutegemea na kila anayetafsiri maana ya mbinu chafu

MWISHO WA YOTE KWENYE HIKI KIPINDI CHA MPITO LOWASSA ANAHITAJIKA KAMA JM ANAVYOTOA HOJA
 
  • Thanks
Reactions: tim
Hii sio kweli.. Mwapachu aliandika hii Jana.

Habari za Sumaye kuhama zimetolewa leo

Mkuu....unasikia mtu kateuliwa muhusika sianakuwa ameshapewa taarifa? Kwanini usiamini JM alikuwa anajua kuwa SUMAYE atahama chama
 
Back
Top Bottom