Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Jamani, kwa anayeifahamu lugha ya kiingeteza vzr, atutafrisie ujumbe huu muhimu ktk uchaguzi kwa mustakabsli wa nchi yetu nzuri. kwa kiingereza changu ya shule za kikwetu, kama vile nimeona; Mashindano/uchaguzi ya(u)liyopo sasa sio UKAWA dhidi ya CCM au EL dhidi JPM bali ni ya Uongozi(Leadership) dhidi ya Utawala(Management), ambapo kwa maoni yake Tz tunahitaji Uongozi wenye kuleta mfumo wa utawaka wenye Tija, sasa tukija kwa wateule weteule wetu, EL ana sifa ya kuwa Kiongozi, na Tingatinga ana sifa nzuri ktk utawala. Hivyo tuchague Kiongozi! Kama nimekosea naomba kusasahihishwa ktk kutasfiri kabla sijaanza kuchangia hoja. Naomba msamaha kama nimekosea.
 
Mkuu kumkosoa mzee Mwapachu kwenye kiingereza inabidi ujipange. Walisoma wakati shule zilikuwa na viwango na walimu walielimika vilivyo na kuheshimika kwenye jamii.[/QUOTE

He is human, after all; hata Queen Elizabeth ll ana madudu rarely, though; kwenye speeches zake. Nilipokuwa nasoma grammer those decades back, mwalimu wetu alikuwa akituonesha madudu ya watu maarufu especially members of the British Royal Family and other great leaders of the time. The most important thing is, the point has got accross the audience. Hata tukiandika kiswahili na kwenye magazeti ya kiswahili tunaona madudu. Haina maana muandishi hajui kiswahili
 
Wewe lusungo uchaguzi ni 25 sio 15 unaona ulivyo kilaza
 
The upcoming general elections are more than choosing between a LEADER (ENL) and a MANAGER (JPM)-It is about choosing between GOOD and EVIL, LIGHT and DARKNESS.

Who is the light and Who is the darkness? Back up with empirical evidence
 
Taifa hili limekosa wasomi wenye akili yaku uliza why ths? Tunavijana na ma Prof wenye first clas but inapokuja hoja ya Lowasa wanakuwa mazezeta kiasi unajiuliza why mtu huyu alienda Shule, imefika mahal yatupasa kujiuliza tunampigia debe Lowasa kwa jambo gani. Mtu alie chafuka na dam ya wanawake walio poteza maisha kwakusa dawa just b'coz ya ulafi wake, mtu alie na roho ngumu alie shindwa mzika J. K Njerere akaja kuhan baada ya kifo chake. Huyu mtu hata Mungu sijuw kama atamkumbuka kwa matendo yake alienda kwa shida ya Urais akikosa atamuacha Mungu. Ewe mtanzania kuwa makini na makanjanja wa Elimu wasiokuwa na maono ya taifa hili ila kwao pesa kwanza mengine yatafuwata. Mungu awasamehe.
 
Conclusion: Lowasa is a 'leader' and Magufuri is a 'mere manager'. We therefore need a leader who will appoint managers.

Thats according to BM. Please acknowledge the source to avoid plagiarism. Some one else can still define them according to his /her understanding and the context plus environment of experience he /she is used to in respect with the subject matter. Thanks mwapachu for your insight of this. May other learned and widened thinkers enlighten us more for us to decide properly.
 
Utadhani Mwapachu alisoma posts zangu za mwanzo. Narudia tena.. Magufuli hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata kidogo. Magufuli kazi zake ni ujenzi wa Madaraja na sio mwanasiasa.
 
Nimeipenda sana hii message, hope soon or later Juma Mwapachu will join the big team (ukawa) inshallah
 
JM you dig down to make analysis of what Tanzania needs " a leader not a manager" umefunguka vizuri na tuna amini upo upande wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom