Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Mi siongei chochote as long as kile kikadi cha kupigia kura ninacho, naamini 25/10 itanikuta nikiwa hai. Siku hiyo lazima nijitendee haki.
 
umelifanyia nini taifa hili Mzee Mwapachu. Kaa kimya kaakimya nyie ndio mliotufikisha hapa ktk uongoz wa taifa hili kaa kimya huna chakusema.
 
U.S baby...

Nyani mzima... much respect kwanza...!!

Watu tuna mahaba na Lowassa haya ni zaidi ya mapenzi...!!!

Tukiona mtu anamsifia Rais wetu chaguo la Mungu, Mwana wa Mungu,
E. Lowassa...

Haya ni mahaba... bcoz we LOVE HIM...!!!

#Nyani ..vipi North Korea nasikia wanataka kutuletea ngumi za mtaani...

North Korea na yule obessed kijana mdogo wanaweza kumtishia MKUU WA DUNIA U.SA...!!!?? Yule Kim Obesity inamsumbua i think...!!!

Teh teh teh sasa kibendera mbona umekisahau bana....
 
Naona undava undava tu kama mbwai mbwai bhana haahaaaaaa ngoja kesho ni zamu ya Makamu na keshokutwa ni zamu ya Judge Askari haahaaaaa
 
Kiongozi ni yule mtu anaefanya vitu kwa usahihi,mfano kwenye tatizo la maji anaweza akabuni njia ya kutatua kama kuchimba visima na kadhalika. Mtawala niyule anafanya vitu sahihi tu na hawezi kuwa mbunifu kwasababu atakua anafata miongozo na sheria za utawala. Tanzania saizi inahitaji kiongozi na si matawala kama alivyosema mzee wetu J.mwapachu.
 
Kwema kabisa yakhe. Nimeamua kuyaweka kando maboksi kwa muda na nimekuja kuwapa nguvu UKAWA......
Sasa sijui kama tutaweza kukivuka kizingiti cha NEC


Tutakivuka tu si unajua safari hii sisi ni wazito tofauti na wa 2010??

Halafu hawa wakina Mwapachu ni vichwa aisee....
 
Aiseeeeee Lowasa is a Leader and Magufuli is just a mere Manager. People want a Leader haahaahaaa kizungu shida sana

hahaha kama alivyosema mkuu mmoja hapo, leader ambaye atachagua managers wa ku-manage operations...sio manager wa kuongoza ma-leaders
...kwa mbaaali kama yale mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa
 
umelifanyia nini taifa hili Mzee Mwapachu. Kaa kimya kaakimya nyie ndio mliotufikisha hapa ktk uongoz wa taifa hili kaa kimya huna chakusema.
Mpwa mbona umeongea kwa sauti ya unyonge hivyo? Kuna tatizo au ndio ulivyo?
 
hahaha kama alivyosema mkuu mmoja hapo, leader ambaye atachagua managers wa kumanage operations...sio manager wa kuongoza ma-leadres.
...kwa mbaaali kama yale mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa

Wanasema eti Jamaa hafai kwenye huo umeneja labda ufoomeni
 
God bless you Mwapachu.naomba ingia ukawa angalau kwa muda huu wauchaguzi uongeze nguvu .na hakika historia itakukumbuka sawa sawa au zaidi ya hayati Baba yako Mzee Mwapachu.
 
umelifanyia nini taifa hili Mzee Mwapachu. Kaa kimya kaakimya nyie ndio mliotufikisha hapa ktk uongoz wa taifa hili kaa kimya huna chakusema.

Sasa utamwambiaje hana cha kusema wakati umejibu usemi wake??

Utasemaje yeye ndo kakufikisha hapo ulipo ilhali wewe ndio kuwadi mkuu wa kuandika mashudu ya kuipamba CCM??

kuna uliloelewa hapo kwenye andishi au umefwata mvumo tu??

Hizo akili zako ni za magazeti ya Uhuru na IJUMAA hapo kwa Mwapachu huwezi elewa kitu labda mwenyekiti wako JK asome kisha aje akufafanulie kama mlivyo msubiri awafafanulie kuwa picha za mafuriko ni za kutengeneza!!!

Ni aibu kwa karne hii kuishi mithili ya wafu!!!
 
Wanasema eti Jamaa hafai kwenye huo umeneja labda ufoomeni

hata HP siku moja alimshauri jamaa eti akiwa raisi.aache mambo ya u-foreman kwasababu hayaendani na uraisi...sema huyo HP mwenyewe siku hizi kala maharage sijui ya wapi
 
sikutegemea kukutana na ujumbe mzuri kama huu unaoweza kumfanya mtu ajitafakari kwa kina juu ya uchaguzi mkuu 2015.
 
TumainiEl Hon Dr Juma Mwapachu alikuwa ni Katibu Mkuu wa Jumuia ya Africa Mashariki, ana haki zoote kutoa maoni au mawazo yake!!
Kwa nini umnyamazishe??
Tanzania ni nchi yetu woote!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom