Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Aiseeeeee Lowasa is a Leader and Magufuli is just a mere Manager. People want a Leader haahaahaaa kizungu shida sana
 
Its leadership vs management good!!! We are looking for leaders not managers. Jm unastahili zaidi ya Mr.
 
Hii sio kweli.. Mwapachu aliandika hii Jana.

Habari za Sumaye kuhama zimetolewa leo

Mkuu unaishi Dunia gani? Unafikiri ukisikia mtu ametangazwa kuteuliwa unadhani uteuzi ndo anausikia pale pale?
 
freedom is just around the corner foward ever backward never
 
Haha braza hizo ni products za kata na embe ngwangwa!!!

Kwema lakini?

Kwema kabisa yakhe. Nimeamua kuyaweka kando maboksi kwa muda na nimekuja kuwapa nguvu UKAWA......
Sasa sijui kama tutaweza kukivuka kizingiti cha NEC
 
Yuko huru kutoa mawazo yake na sie CCM hatuna tabia ya kutoa matusi kujibu hoja ..asuburi oktoba ifike!
 
Baruni JM katoa ushauri tu povu la nini, kuna Manager na kiongozi!!
Manager anapewa majukumu kutekeleza sio kufikiri, kiongozi anafikiri na kutoa dira, watu wanatekeleza!!
Umeelewa kijana utofauti??
 
Last edited by a moderator:
Dah....angekua mzalendo basi wengi tufaidi busara zake.

Hiyo english tena ya kiingereza kigumu...Dah, lakini nimeambulia point moja khs lida na meneja. Nimemuelewa na kanisaidia kufaham tofauti ya JPM na ENL.

Ndio maana mmoja alikumbushwa na hata raisi alisema wengine wanahitaji kukumbushwa, wamejizoesha kautaratibu kakuteliwa ndio maana "shukrani" ni nyingi kwy maneno yake kuliko ujasiri wa atafanya nini.

Wakati mwingine nashindwa kuelewa mgombea ni nani hasa upande ule kati ya anaeondoka na aliyechukua fomu.

Hahahahaaaa nadhani umemwelewa Mh. Mwapachu vizuri sana. Ila kweli huyu mgombea saa zote yuko ubavuni mwa Kikwete na mara zote kumsifia kikwete kwa kila sentensi. Huyo aondoke nae maana akimweka Magufuli kuwa rais anatampelekesha anavyotaka.
 
Mkuu unaishi Dunia gani? Unafikiri ukisikia mtu ametangazwa kuteuliwa unadhani uteuzi ndo anausikia pale pale?

Sasa unataka kuniambia aliandika post baada ya kusikia tetesi za kuhama kwa Sumaye.??
 
Agenda ya vijana ni ajira zenye staha..siyo Mabadiliko ya rangi za mavazi ya watawala.. Only Magufuli ndo ana mipango bora ya ajira kwa vijana.
 
mhhhh anakingereza kigumu hata baba riz anatoka kapa ...haelewi kitu hapo!
 
mhhhh anakingereza kigumu hata baba riz anatoka kapa ...haelewi kitu hapo! huyo msukuma makufuli ndo mayoooo
 
Surely Don't miss the point, Tanzania as of know need a leader to imprement the changes in our society!!
The Manager is good for using tools eg, machinely and labour for executing tasks or duties!!
But a leader is best on mobilising people in executing Missions, a good dependable leader is Edo N Lowasa!!
Dr Magufuri is a machinery type Manager at that, vision wise nill!!

Well said sir! I think you have hit the nail on the head.
 
This guy is very GENIUS...almost like me...!! Thanking you very much His Excellency Mapachu...really genius...!!

Anyway, anyhow, by any means

It is TIME for CHANGE...

Lowassa is the GREATEST LEADER...!!!

Lowassa kama Yesu...!!!
 
Back
Top Bottom