Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

Nyie UKAWA mumechanganyikiwa kabisa. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kusema kuwa upinzani huu tulionao leo wa masilahi binafsi utashika dola? Mkapimwe nyie hamko sawa.
 
Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Wanasiasa wa upinzani ni wachumia matumbo tuu. Tunahitaji muda sana ili kuupa nchi upinzani. Waliopo sasa ni wababaishaji tuu. Wameanzisha vyama kama SACCOS zao
 
Hivi MAGUFULI na LOWASA nani alieteuliwa? Tumia akili wewe. Chadema walifanya uchaguzi kumteua Lowassa?nani alipiga kura?
 
Chadema hawakurusu mtu yotote kuchukua fomu ili tu LOWASSA asiwe na mshindani. Sasa demokrasia iko wapi? Si ni afadhali CCM ambao waliruhusu watu wachukue fomu na kura zaidi ya 2300 zikimpitisha MAGUFULI. LOWASSA alipitishwa na kura ngapi huko CHADEMA??
 
The change has come...Magufuli for presidency.
 
Very well written Sir!!!!

Tanzanians need to wake-up and give UKAWA a chance to prove themselves.
 
Mkuu kumkosoa mzee Mwapachu kwenye kiingereza inabidi ujipange. Walisoma wakati shule zilikuwa na viwango na walimu walielimika vilivyo na kuheshimika kwenye jamii.

Kwa kuongezea, tena walijifunza COLONIAL ENGLISH sio sie tume download na apps ya google translate unaandika neno huku una lihakiki
 
Utumwa wa mawazo huo.lugha zote zina kazi moja tuu. Hakuna lugha iliyo bora kuliko nyingine.
 
Wala siyo kitu cha kumsifia. Yeye ni Mtanzania na Lugha yake ya asili ni kiswahili. Tena anatoka TANGA ambapo wanazungumza kiswahili saaaafi. Kuzungumza kiingereza hali ya kuwa unao waambia ni WATANZANIA huo ni utumwa wa fikra kuwa kilicho bora ni cha mzungu.
 
Kuna watu wanafanya uchambuzi wa vitu kutokana na yale yanayotokea na hata kina Polepole, Dr. Bana sijui Bashiru Ally wasingekuwa wanahojiwa kama hakuna agenda ambayo ni hot iliyotokea kwenye jamii hivyo kutokana na matukio kila mtu anawiwa kuzungumza mtazamo wake au kile alichokuwa nacho moyoni anaona ndio muda muafaka kukiongea.
 
Bado sijamwelewa Mwapachu.

Lowassa ni leader?

Uleadership wake alionyesha wapi, kwa namna gani?

For what I know, Lowassa alikuwa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi.

For what I know Magufuli delivers wherever he go.

What is this thing manager vs leader?

A leader whose leadership is epitomized by curruption scandals and suspicious tendencies is just a bad leader.

A manager whose managerial capacity is indistingushable from good leadership is just that, a good leader.

Kwangu mimi ni kuchagua kati ya nyeusi na nyeupe, Lowassa au Magufuli.

Mwapachu, usinchekeshe...
 
Nadhani sasa ni suala la muda tu CCM kusahaulika rasmi
 
Watu tuanjua lugha zaidi ya nne na tupo kimyaa. Mimi najua kiarabu,kifaransa,kitaliano kiingereza,kihindi na kiswahili jumlisha na lugha za
makabila mbalimbali ya kitanzania ikieemo kisukuma,kipare,kisambaa,kidigo na kiluguru na kijita kidooogo. Ila sioni maana ya kuzungumA lugha za wenzangu kwani ipo ligha inayotuunganisha watanzania wote na inatosha kukidhi mahitaji yangu.
 
Kuzungumza lugha za wenzako siyo kwamba una maarifa zaidi au ndo kwamba una hoja zaidi kwenye masuala unayoyazungumza. Kiingereza ni LUGHA kama LUGHA yoyote ile.
 
Hawa UKAWA wamevurugwa. Utadhani wamechukuliwa Msukure. Manake hawajielewi wala hawafikiri..wao ni kufuata kila wanachoambiwa bila ya kutumia akili zao. Huu si ni sawa na Msukure tuu.
 

Haya ni mawazo ya mtu aliepewa UBONGO kwa Bahati mbaya.....Mkuu unatokwa povu na maneno ya hovyo nivile hamkutegemea km Mirija yenu ingekatwa ghafla namna nw jiandaeni kuishi na liCCM lenu mkiwa chama cha upinzani
 
Good Food 4 thought!! a well thought out opinion from an expérienced
civil servant, manager, academic, nd diplomat! Asante sana Juma!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…