Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda

Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
 
Huyu dogo Mimi Nilikuwa nashangaa anvyoendekeza uchawa huku akitukana Lissu bila sababu zozote za msingi nadhani huyu avuliwe uongozi
Mimi sioni tusi hapo. Ninachokiona ni dalili za mtuhumiwa kutokumuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya mwenyekiti. Hilo sio tusi; ana haki ya kikatiba ya kumuunga mkono mgombea anayemtaka yeye!
 
Reactions: Tui
Mkuu
Hayo.maelekezo kayatoa wapi
 
Kina ntobi, boni, jericho. Kilewo Hawana tofautina akina lusinde, makonda, all hapo, doto james
 
Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Ndiyo na Hapana.
Ndiyo kuhusu mategemeo kwa Lissu.
Hapana, Tanzania haitabadilika; Tanzania itabaki kuwa Tanzania nzuri hata kuliko hiyo Canada!

Ulisha fika Canada wewe; baridi ya kule hutatamani kuishi huko.
Maisha hapa yatakuwa mazuri tu, na hata hao waCanada watatamani kuhamia na kuishi Tanzania.

Sisi hapa hatuwezi kuiona Tanzania ya aina hiyo, kwa sababu CCM walisha ua akili zetu.
 
Ila CHADEMA akili kisoda kweli,
Anaposema Ntobi mamlaka yake ya nidhamu ni Kanda anamaana gani?
Wanapigiana danadana huku jamaa akiendeleza damages.

Niliwahi kuwasiliana na Ntobi, jamaa ni mbatata ya kiwango cha heshima kabisa. Anaongoza chama mkoa na akili zake kawaacha kwa mbali sana anaowaongoza ndo maana wamemchagua
 
Chama kimejaa vilaza unategemea wawe na uelewa ?
 
Tatizo hao vijana wamejazwa upepo humo mitandaoni kuwa wana akili nyingi na ni "wanasiasa" na "watetezi" wa wananchi walipokuwa wanaitukana Serikali kwa hiyo hawajui njia nyingine ya kufanya siasa zaidi hizi sarakasi
 
Naenda na ntobi shikilia hapo hapo btn kweli lissu hawez kua kiongoz hata wa nyumba kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…