Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata Lema kamtaka Mnyika aagize uongozi wa mkoa umchukulie hatua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sioni tusi hapo. Ninachokiona ni dalili za mtuhumiwa kutokumuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya mwenyekiti. Hilo sio tusi; ana haki ya kikatiba ya kumuunga mkono mgombea anayemtaka yeye!Huyu dogo Mimi Nilikuwa nashangaa anvyoendekeza uchawa huku akitukana Lissu bila sababu zozote za msingi nadhani huyu avuliwe uongozi
MkuuMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
View attachment 3180661
View attachment 3180647
Hujui mamlaka ya nidhamu kazi yake nini?Mbona heading na alivyosema Mnyika ni vitu viwili tofauti.
Sijaona sehemu Mnyika kaagiza avuliwe uanachama.
Ila CHADEMA akili kisoda kweli,Mkuu
Hayo.maelekezo kayatoa wapi
Kina ntobi, boni, jericho. Kilewo Hawana tofautina akina lusinde, makonda, all hapo, doto jamesHata wale kina Nyerere, boni, kilewo, ni washamba. kuna steji za kiuongozi ukifika hutakiwi kuwa emotional kiasi kile. Sio busara kuonesha hisia za uchawa kwenye hali kama ya sasa cdm. Kiongozi lazima uoneshe ukomavu flani wa kuweza kutulia kwanza ukisubiri lolote lujalo.
kwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Ndiyo na Hapana.Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Wanapigiana danadana huku jamaa akiendeleza damages.Ila CHADEMA akili kisoda kweli,
Anaposema Ntobi mamlaka yake ya nidhamu ni Kanda anamaana gani?
Chama kimejaa vilaza unategemea wawe na uelewa ?Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
Mamlaka ya nidhamu ina kazi nyingi sio lazima kuvua uanachama kuna kuonya kushauri nk.Hujui mamlaka ya nidhamu kazi yake nini?
Huwezi mpangia mtu namna ya kukupinga hayo yatakua maigizoni haki ila si namna hiii baada ya kutangaza kukitaka kiti, ama nae tumvike koti la usaliti kama alilo vikwa zzk
Ndo maana mmeambiwa muonyeshe hayo makosa aliyoyafanya ntobiMaoni pia yanamipaka
Labda raisi wa famolia yake na yako usituletee matatizoLissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Hajatukana hata katoa maoni yake ambaye wengi hawayapendi
Ukimkosoa au ukimpinga lisu unaonekana mbaya alafu mda huo huo wanahubiri democrasia
Unavyogombania nafasi kupingwa ni kawaida
Naenda na ntobi shikilia hapo hapo btn kweli lissu hawez kua kiongoz hata wa nyumba kumiHivi watu wanajua matusi au ni mahaba tu..mtu kusema jamaa hawezi kuwa kiongozi hata wa mtaa ni tusi??? Mbona Mama Samia watu wanasema zaidi ya hayo, mkiulizwa mnasema ndo demokrasia hiyo, lkn kwa Lissu mtu anasemwa anatukanwa.
Kuwa kiongozi mkubwa sio lele mama..lazima mawe yalushwe tu
Labda raisi wa famolia yake na yako usituletee matatizo