Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Duh Bwashee, sikutegemea andiko hili kutoka kwako japo ndo ukweli! Maana nikuonavyo wewe ni kama vile una nasaba ya kijani,
sasa kuleta andiko kama hilo linatuahc wengine hoi! Au ndo kubadili gia angani?!!
Huyu ni kijani anayejitambua, siyo wale wa mapambio.

Cc johnthebaptist
 
Kwani uchaguzi haukua huru? Hiyo kampuni ya wamangi nani anaweza kuwachagua awape dola. Unafikiri watz wajinga hadi kuwapa dola wachagga tena wamachame? Duh ikitokea itakua tumejimaliza🏃🏃🏋🏻‍♂️🤸🕺💃
 
Leo naona umetumia dawa vizuri endelea nazo hizi zinakusaidia sn
 
Wewe kabila gani?
 
Silaha ya ccm siyo umoja, bali DOLA.
 
2015 JPM alipata kura 54000 tu Dar nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…