Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Duh Bwashee, sikutegemea andiko hili kutoka kwako japo ndo ukweli! Maana nikuonavyo wewe ni kama vile una nasaba ya kijani,
sasa kuleta andiko kama hilo linatuahc wengine hoi! Au ndo kubadili gia angani?!!
Huyu ni kijani anayejitambua, siyo wale wa mapambio.

Cc johnthebaptist
 
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.

Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.

Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo.

Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani uchaguzi haukua huru? Hiyo kampuni ya wamangi nani anaweza kuwachagua awape dola. Unafikiri watz wajinga hadi kuwapa dola wachagga tena wamachame? Duh ikitokea itakua tumejimaliza🏃🏃🏋🏻‍♂️🤸🕺💃
 
Leo naona umetumia dawa vizuri endelea nazo hizi zinakusaidia sn
 
Kwani uchaguzi haukua huru? Hiyo kampuni ya wamangi nani anaweza kuwachagua awape dola. Unafikiri watz wajinga hadi kuwapa dola wachagga tena wamachame? Duh ikitokea itakua tumejimaliza🏃🏃🏋🏻‍♂️🤸🕺💃
Wewe kabila gani?
 
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.

Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.

Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo.

Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.

Maendeleo hayana vyama!
Silaha ya ccm siyo umoja, bali DOLA.
 
2015 JPM alipata kura 54000 tu Dar nzima.
 
Back
Top Bottom