chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Na naomba asije kutokea mtu wa hovyo kama huyo, ajabu kuna mijitu mpaka leo inaona alikuwa sawaSiwezi kukupinga hayo ni maoni yako, ila Magufuli ameinyoosha nchi na kutengeneza mifumo mizuri ya kiutawala sasa hv CCM imeachiwa nchi salama kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app