Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Kipindi cha Magufuli haikuwepo hii, waziri aliyemweka kashatolewa na kuwekwa mwingine mama ilibidi atulie kipindi hiki awaachie mawaziri walewale wamalizie majukumu yao walioachiwa.
Mliondoa vyama vya upinzani kuwa wanachelewesha maendeleo chini ya rais juha Magufuri leo mnaanza kukabana shingo.
 
Alituibia sana yule mzee, na majitu aliyoyaweka yote ni mavilaza tu,hakuna tena ushindani wakufanya maendeleo, yamebaki majungu na kulogana, enzi zile hata barabara za mitaa zilikuwa safi,yaani walikuwa wanajitahidi kuzifanyia kazi ili waendelee kuwepo
 
Back
Top Bottom