Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Ila Magufuli wizi wa kura aliuanza tangu yupo Chato kama Mbunge, sijui alikuwa na matatizo gani linapokuja suala la Fair competition.
 
Sukumagang inajifanya inatoa nasaha kwa CCM ingali bado ni gang ambayo haitaki kutoka CCM na kujiunga kwenye wanaoitwa wapinzani rasmi by either kuhamia chama chochote Cha upinzani au kuanzisha chama wanachoona hizo Sera zao zitaungwa mkono.

Ni wazi kwamba mleta mada yupo sahihi lakini mtu aliye makini atajiuliza huyu bwana anataka nini? Solution yake ni nini?

CCM imeshakimbiwa kimawazo na watu wengi kimawazo, kiukweli wanaoingia au waliopo ni wale wenye maslahi binafsi na wamepata nafasi ya kutafuna keki kiuhuni na wanajua hilo lakini sababu ya ubinafsi wamekubali lawama.

CCM Ina vijana Kama huyu ambaye ameleta hii mada, huyu alikuwa anasifia kila kitu Cha mwendazake sababu labda alipewa ulaji au alikuwa anaamini angepata ulaji lakini kwa sasa haoni anakoenda ndio maana leo anaweza kukosoa chama.

Watu Kama hawa Kuna haja ya kuwa makini sana ni type za polepole.
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa rahisi kwa CCM ila wa 2015 ndiyo uchaguzi ulikuwa mgumu! Bado sioni vyama vya upinzani kuwa na nguvu ata 2025 labda Samia ajichanganye tu lakini mpaka sasa sion chochote chakuitisha CCM 2025 na wasipoangalia hawatopata ata kiti kimoja
 
Acha porojo..kwanini mlikuwa mnawakimbia wagombea wa upinzani maofisini wasirejeshe fomu kwa wakati?!!
 
Hawa ni wale wanakuaga wanafiki ujanani alafu wachawi uzeeni!
 
Ccm sio chama cha kizazi hiki, hicho ni chama analogia ndio maana kinatumia mabavu zaidi ili kubaki madarakani kuliko ushawishi. Na Magufuli alijua bila kupora mchakato ccm ilillkuwa inaingia aina ya karne. Amelazimisha ccm kutangazwa washindi kwa shuruti, lakini hata viongozi wake wakiitisha mikutano ya wananchi wanajitokeza kwa uchache sana. Na kwenye chaguzi ndo wapiga kura watashuka hadi aibu. Machafuko tu ndii njia ya kuwatoa ccm madarakani, kwani wametengeneza ushirikiano ws kihalifu na vyombo vya dola ili wasitoke madarakani.
 
Imekuwaje wametunika🤔
 
Ccm hawataki katiba mpya kwa sababu wanatambua kabisa kwamba huo ndo msumari wa mwisho kwenye jeneza la chama chao chakavu!
Kwani wanataka kuishi milele dunia hii iliyojaa matatizo chungu mbovu🤔.watupe sisi ya wao kutamani kuishi mile, au keki ya taifa?
 
Jamaa aliimba sana GUNZI,akasahau kuwa bila Gunzi vijipesa haviletwi.
 
Ila Magufuli wizi wa kura aliuanza tangu yupo Chato kama Mbunge, sijui alikuwa na matatizo gani linapokuja suala la Fair competition.
Jamaa alikuwa hajiamini. Ulikuwa hata ukimuangalia "dem" wake tu,basi huyo mdada/mmama atachezea kichapo home balaa.
Yupo mmoja huko Tabata alikuwa "punching bag".
 
"Unaposema inapendwa san tena mno then katika fair election hbr inaweza kua tofaut kbs" Unamaanisha nn? Cz kama inapendwa san tena mno on that percentage hata kuwe na tume huru na fair elections bas CCM watashinda according to your claims!
Kupendwa sio lazima uchaguliwe.
 
Mtoto wa miaka 14 anaweza kushawishiwa na Bazazi moja ili aolewe na yeye akakubali kuolewa, Ni jukumu la mzazi na jamii kuingilia kati na kumnusuru mtoto asiolewe ili apate haki zake kama mtoto..
 
Duh Bwashee, sikutegemea andiko hili kutoka kwako japo ndo ukweli! Maana nikuonavyo wewe ni kama vile una nasaba ya kijani,
sasa kuleta andiko kama hilo linatuahc wengine hoi! Au ndo kubadili gia angani?!!
Kaandika mke wake bana,sio yeye,muwe mnaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…