Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ni ujinga sana kujiona unajua zaid ya mwingine bila kutafakar comments imelenga nn!! Hii itakufanya ww uonekane umekurupuka hapa!!!Acha kukurupuka soma kwanza uelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga sana kujiona unajua zaid ya mwingine bila kutafakar comments imelenga nn!! Hii itakufanya ww uonekane umekurupuka hapa!!!Acha kukurupuka soma kwanza uelewe
Ila Magufuli wizi wa kura aliuanza tangu yupo Chato kama Mbunge, sijui alikuwa na matatizo gani linapokuja suala la Fair competition.Mkemia alituma "organic chemistry" kama njia sahihi ya kupata ushindi wa kishindo. Alitembea katika sayansi kwa nukuu ifuatayo;
"Hydrocarbons are generally colourless and hydrophobic with only weak odours. Because of their diverse molecular structures, it is difficult to generalize further"
Kwa hiyo akautumia udhaifu wa mfumo kama "diverse molecular structure" ili kuiba kura na kukipatia ushindi cha chake.
Ccm hawataki katiba mpya kwa sababu wanatambua kabisa kwamba huo ndo msumari wa mwisho kwenye jeneza la chama chao chakavu!Ni vizuri Jo kama na wezako wote wangetambua Hilo na kuitaka katiba mpya ili wapate utawala mpya wenye fikra, maono, mitazamo mipya na iliyoyaona na kuyatanbua matatizo ya Watanzania
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa rahisi kwa CCM ila wa 2015 ndiyo uchaguzi ulikuwa mgumu! Bado sioni vyama vya upinzani kuwa na nguvu ata 2025 labda Samia ajichanganye tu lakini mpaka sasa sion chochote chakuitisha CCM 2025 na wasipoangalia hawatopata ata kiti kimojaNazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.
Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.
Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo.
Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.
Maendeleo hayana vyama!
Acha porojo..kwanini mlikuwa mnawakimbia wagombea wa upinzani maofisini wasirejeshe fomu kwa wakati?!!Uchaguzi wa 2020 ulikuwa rahisi kwa CCM ila wa 2015 ndiyo uchaguzi ulikuwa mgumu! Bado sioni vyama vya upinzani kuwa na nguvu ata 2025 labda Samia ajichanganye tu lakini mpaka sasa sion chochote chakuitisha CCM 2025 na wasipoangalia hawatopata ata kiti kimoja
Hawa ni wale wanakuaga wanafiki ujanani alafu wachawi uzeeni!Sukumagang inajifanya inatoa nasaha kwa CCM ingali bado ni gang ambayo haitaki kutoka CCM na kujiunga kwenye wanaoitwa wapinzani rasmi by either kuhamia chama chochote Cha upinzani au kuanzisha chama wanachoona hizo Sera zao zitaungwa mkono.
Ni wazi kwamba mleta mada yupo sahihi lakini mtu aliye makini atajiuliza huyu bwana anataka nini? Solution yake ni nini?
CCM imeshakimbiwa kimawazo na watu wengi kimawazo, kiukweli wanaoingia au waliopo ni wale wenye maslahi binafsi na wamepata nafasi ya kutafuna keki kiuhuni na wanajua hilo lakini sababu ya ubinafsi wamekubali lawama.
CCM Ina vijana Kama huyu ambaye ameleta hii mada, huyu alikuwa anasifia kila kitu Cha mwendazake sababu labda alipewa ulaji au alikuwa anaamini angepata ulaji lakini kwa sasa haoni anakoenda ndio maana leo anaweza kukosoa chama.
Watu Kama hawa Kuna haja ya kuwa makini sana ni type za polepole.
Hujaelewa tu? Anamaanisha sayansi ya wizi wa kura na uporaji wa ushindi.Sayansi ipi hio una zungumzia?
Na bado kuna watu wanasema alikua mtu mwema!Hujaelewa tu? Anamaanisha sayansi ya wizi wa kura na uporaji wa ushindi.
Imekuwaje wametunika🤔Ccm sio chama cha kizazi hiki, hicho ni chama analogia ndio maana kinatumia mabavu zaidi ili kubaki madarakani kuliko ushawishi. Na Magufuli alijua bila kupora mchakato ccm ilillkuwa inaingia aina ya karne. Amelazimisha ccm kutangazwa washindi kwa shuruti, lakini hata viongozi wake wakiitisha mikutano ya wananchi wanajitokeza kwa uchache sana. Na kwenye chaguzi ndo wapiga kura watashuka hadi aibu. Machafuko tu ndii njia ya kuwatoa ccm madarakani, kwani wametengeneza ushirikiano ws kihalifu na vyombo vya dola ili wasitoke madarakani.
Kwani wanataka kuishi milele dunia hii iliyojaa matatizo chungu mbovu🤔.watupe sisi ya wao kutamani kuishi mile, au keki ya taifa?Ccm hawataki katiba mpya kwa sababu wanatambua kabisa kwamba huo ndo msumari wa mwisho kwenye jeneza la chama chao chakavu!
Angesema huwa vijipesa vinapita kwa wasimamizi ili cheusi kiwe cheupeSayansi ipi hio una zungumzia?
Sasa baada ya kuiba kura zote, kwa nini tena kulazimisha wabunge wa viti maalumu aka Covid - 19?
Nia yake ilikua awe na bunge la chama chake tu, sasa kwa nini hadi kumtoa aliyekua mahabusu gerezani usiku na kumkimbiza kuapishwa Dodoma? Ni kwamba hakufurahia kuwa na 100% wabunge wake? baada ya CHADEMA kukataa kupeleka viti maalumu kutokana na matokeo ya uchaguzi ya hovyo?
Jamaa alikuwa hajiamini. Ulikuwa hata ukimuangalia "dem" wake tu,basi huyo mdada/mmama atachezea kichapo home balaa.Ila Magufuli wizi wa kura aliuanza tangu yupo Chato kama Mbunge, sijui alikuwa na matatizo gani linapokuja suala la Fair competition.
Kupendwa sio lazima uchaguliwe."Unaposema inapendwa san tena mno then katika fair election hbr inaweza kua tofaut kbs" Unamaanisha nn? Cz kama inapendwa san tena mno on that percentage hata kuwe na tume huru na fair elections bas CCM watashinda according to your claims!
Kaandika mke wake bana,sio yeye,muwe mnaelewa.Duh Bwashee, sikutegemea andiko hili kutoka kwako japo ndo ukweli! Maana nikuonavyo wewe ni kama vile una nasaba ya kijani,
sasa kuleta andiko kama hilo linatuahc wengine hoi! Au ndo kubadili gia angani?!!