Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.

Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.

Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo.

Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.

Maendeleo hayana vyama!
Sema Uchaguzi wa kihuni na si kisayansi kama unavyojipotosha na mawazo yako,Magufuri hakuwahi kutumia mbinu za kisayansi bali uhuni,upumbavu na ujambazi kwa kuwa tu hela zote na majeshi yote ya nchi vilikuwa vyake.
 
Sasa baada ya kuiba kura zote, kwa nini tena kulazimisha wabunge wa viti maalumu aka Covid - 19?

Nia yake ilikua awe na bunge la chama chake tu, sasa kwa nini hadi kumtoa aliyekua mahabusu gerezani usiku na kumkimbiza kuapishwa Dodoma? Ni kwamba hakufurahia kuwa na 100% wabunge wake? baada ya CHADEMA kukataa kupeleka viti maalumu kutokana na matokeo ya uchaguzi ya hovyo?
Tamaa ya hela za wafadhili tosha
 
Acha porojo..kwanini mlikuwa mnawakimbia wagombea wa upinzani maofisini wasirejeshe fomu kwa wakati?!!
Ninachojua fitina kwenye siasa zipo tu! Ata ndani ya vyama kwenye chaguzi zetu tunafanyiana sana tu angalia Hamad pale ACT anavyolalamika kwa kufinywa kwenye chaguzi tena ndani ya chama chao wenyewe
 
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.

Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.

Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo.

Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.

Maendeleo hayana vyama!

Ndio ukweli... ila CCM ni ukoo wa panya, na wanazliana na kurithishana....hakuna atakubali mkate wake upotee...
 
Na bado kuna watu wanasema alikua mtu mwema!
Kwani tangia 1995 kuna chaguzi ilipita bila upinzani kusema waneshindwa kihalali? Tafuta kitabu na Dkt Slaa "Nyuma ya Pazia" ukutane na visa vya 2010 juu kontena za kura fake zilivovuka kwenye mpaka wa Tunduma kutokea South Africa.
 
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sayansi haitaki upinzani ndio maana JPM alifanya vile ili aweze kukamilisha mipango yake ya kuibadilisha nchi kuwa Taifa linalojitegemea
 
Kwa hakika muda ni hakimu mzuri tutayasikia yaliyokua yakinenwa siri kwa hiyo miaka 6 nchi ilipokuwa mateka.
 
Kwani Alifanya nini kwenye chaguzi ile😊
Nachojua CCM ilishinda kwa kishindo kikubwa kwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi😉Wewe unajaribu kutueleza nini embu fafanua.
 
Sasa baada ya kuiba kura zote, kwa nini tena kulazimisha wabunge wa viti maalumu aka Covid - 19?

Nia yake ilikua awe na bunge la chama chake tu, sasa kwa nini hadi kumtoa aliyekua mahabusu gerezani usiku na kumkimbiza kuapishwa Dodoma? Ni kwamba hakufurahia kuwa na 100% wabunge wake? baada ya CHADEMA kukataa kupeleka viti maalumu kutokana na matokeo ya uchaguzi ya hovyo?
Bunge lote la KIJAN..2025 ndo hiyo hamna chochote Cha maana WAMEFANYA.2025 KITAWAKA
 
Mbakaji wa demokrasia na uhuru wa watu, mungu mtu wa lumumba.
 
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sayansi haitaki upinzani ndio maana JPM alifanya vile ili aweze kukamilisha mipango yake ya kuibadilisha nchi kuwa Taifa linalojitegemea
Kikubwa Magufuli alichofanikiwa ni udikteta uliomwezesha kuwafanya wajinga kuwa wap.umbavu hata wasijue ubovu wake.

Magufuli historia itamkumbuka kama Rais aliyekuwa wa hovyo kuliko mwingine yeyote, japo ukichaa wake uliwezesha mambo machache mazuri kufanyika.
 
Siwezi kukupinga hayo ni maoni yako, ila Magufuli ameinyoosha nchi na kutengeneza mifumo mizuri ya kiutawala sasa hv CCM imeachiwa nchi salama kabisa
 
Kukatika katika umeme ni kuinyosha nchi???
Kipindi cha Magufuli haikuwepo hii, waziri aliyemweka kashatolewa na kuwekwa mwingine mama ilibidi atulie kipindi hiki awaachie mawaziri walewale wamalizie majukumu yao walioachiwa.
 
Back
Top Bottom