mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
tunazungumzia askari aliyefanya tukio...kamanda aliyekuwepo eneo la tukio ambapo daudi mwangosi aliuawa hakuchukuliwa hatua.
..lakini ukiangalia video ya tukio lile utaona kwamba kamanda alikuwa amedhamiria toka awali kutumia nguvu iliyopitiliza dhidi ya chadema na matokeo yake yakawa mauaji ya mwangosi.
Huyo aliyefanya kwa Mwangosi alichukuliwa hatua gani?tunazungumzia askari aliyefanya tukio.
nguvu iliyopitiliza haimfungi anayeagiza,ila anayefanya.
tunazungumzia askari aliyefanya tukio.
nguvu iliyopitiliza haimfungi anayeagiza,ila anayefanya.
Mkuu unashangaa nini zawadi?mauaji ya zanzibar 2001 yule alieyaongoza hakuzawadiwa?ni Tibaigana au Said Mwema??kumbuka kijana!!!mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Kamanda Kamuhanda alihamishiwa mkoa mwingine baada ya mauaji ya Mwangosi...nilivyoangalia tukio la mwangosi nilishawishika kwamba hata kamanda aliyekuwepo eneo la tukio alistahili kuchukuliwa hatua.
hakuna kitu cha hivyo...kwa wenzetu huyu jamaa aliyeua na wenzake ambao hawakumzuia asiue wamechukuliwa hatua za kisheria.
..nilivyoangalia tukio la mwangosi nilishawishika kwamba hata kamanda aliyekuwepo eneo la tukio alistahili kuchukuliwa hatua.
Kamanda Kamuhanda alihamishiwa mkoa mwingine baada ya mauaji ya Mwangosi.
zanzibar waliuawa waharifu waliokuwa tayari kuua askari na watu wengine.Mkuu unashangaa nini zawadi?mauaji ya zanzibar 2001 yule alieyaongoza hakuzawadiwa?ni Tibaigana au Said Mwema??kumbuka kijana!!!
hakuna kitu cha hivyo.
huyu jamaa wenzake walichukuliwa hatua,maana alichokifanya kumkandamiza jamaa pale chini zaidi ya dakika 8 kilikuwa ni kitendo ambacho ni kinyume 100% na utendaji wa kazi.hata mtoto mdongo angeamua kumzuia kama angepata nafasi,ila wale wakawa wanamtizama tu.
scenario ni tofauti kwa mwangosi,kamanda yuko na askari wengi wako na vifaa,mar mwangosi anafanya aliyoyafanya wakati akiwa anadhibitiwa,askari anamwelekezea mtutu na kumripua.kosa ni lake yeye peke yake,maana tayari alikuwa chini ya ulinzi,na haikuwezekana wengine kumzuia askari yule maana ni kitendo ambacho hakikumaliza hata sekunde tatu.ni kama alifanya kwa uzembe.
Hata yale mauaji ya Arusha ingekuwa nchi zenye kuheshimu utawala wa sheria Said Mwema angekuwa jela sasa hivi. Ilikuwa moja ya mambo yaliyonisukuma kupinga kwa nguvu zote ujio wa lowasa 2015...kamuhanda alikuwa ameshaazimia kuwapiga chadema.
..Asingeondoka eneo lile bila kuwafanya kitu mbaya chadema.
..Nendeni mkaangalie video clips za kilichotokea siku ile.
Watu hawana huruma kabisaIt's sad Hivi alikua anajiskiaje hapo anavoning'inia kwenye shingo ya mwenzake dah😪
Kuna Mwangosi, Aquilina, kuna Ben Saa8, na watu wengine wengi wamekufa Tanzania! Kama akili yako haijasimama mahala, au haijapikwa ukala, taja Askari alihukumiwa kwa kuonea au kuuwa raia!!mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Hata Wewe unaye tetea maovu, unastahili kuchukuliwa hatua!hakuna kitu cha hivyo.
huyu jamaa wenzake walichukuliwa hatua,maana alichokifanya kumkandamiza jamaa pale chini zaidi ya dakika 8 kilikuwa ni kitendo ambacho ni kinyume 100% na utendaji wa kazi.hata mtoto mdongo angeamua kumzuia kama angepata nafasi,ila wale wakawa wanamtizama tu.
scenario ni tofauti kwa mwangosi,kamanda yuko na askari wengi wako na vifaa,mar mwangosi anafanya aliyoyafanya wakati akiwa anadhibitiwa,askari anamwelekezea mtutu na kumripua.kosa ni lake yeye peke yake,maana tayari alikuwa chini ya ulinzi,na haikuwezekana wengine kumzuia askari yule maana ni kitendo ambacho hakikumaliza hata sekunde tatu.ni kama alifanya kwa uzembe.
hatua zinazosahau wajibu wa pande zote mara nyingi huwa ni kwa ajiri ya kufurahisha watu si kutoa haki.Hata Wewe unaye tetea maovu, unastahili kuchukuliwa hatua!
mwangosi askari alihukumiwa miaka 10 jela,kama haukuwa na simu bado.Kuna Mwangosi, Aquilina, kuna Ben Saa8, na watu wengine wengi wamekufa Tanzania! Kama akili yako haijasimama mahala, au haijapikwa ukala, taja Askari alihukumiwa kwa kuonea au kuuwa raia!!
Unajisahaulisha mdogo wake John heche aliuawa na polisi kwa kuchomwa na kisu akiwa kituoni Tena amefungwa pingu Kama huyo...usiwe mwepesi wa kupinga watu Wana maumivu na vitendo vya polisi(sio wote) wanaodhulumu haki za raia hata Kama wamewakamata na makosamnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
sipo hapa kutetea mtu,ndio maana nikakwambia labda hujui ama umeamua tu kuwa kichwa ngumu.Unajisahaulisha mdogo wake John heche aliuawa na polisi kwa kuchomwa na kisu akiwa kituoni Tena amefungwa pingu Kama huyo...usiwe mwepesi wa kupinga watu Wana maumivu na vitendo vya polisi(sio wote) wanaodhulumu haki za raia hata Kama wamewakamata na makosa