mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
..kamanda aliyekuwepo eneo la tukio ambapo daudi mwangosi aliuawa hakuchukuliwa hatua.
..lakini ukiangalia video ya tukio lile utaona kwamba kamanda alikuwa amedhamiria toka awali kutumia nguvu iliyopitiliza dhidi ya chadema na matokeo yake yakawa mauaji ya mwangosi.