Alichofanya huyu askari kinafanyika sana hapa Tanzania ila askari wa hapa kwetu wanalindwa sana

mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.

askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??

..kamanda aliyekuwepo eneo la tukio ambapo daudi mwangosi aliuawa hakuchukuliwa hatua.

..lakini ukiangalia video ya tukio lile utaona kwamba kamanda alikuwa amedhamiria toka awali kutumia nguvu iliyopitiliza dhidi ya chadema na matokeo yake yakawa mauaji ya mwangosi.
 
tunazungumzia askari aliyefanya tukio.

nguvu iliyopitiliza haimfungi anayeagiza,ila anayefanya.
 
..kwa wenzetu huyu jamaa aliyeua amefikishwa mahakamani.

..Zaidi askari wenzake ambao walikuwepo eneo la tukio lakini hawakumzuia asiue watafikishwa mahakamani.

..nilivyoangalia tukio la mwangosi nilishawishika kwamba hata kamanda aliyekuwepo eneo la tukio alistahili kuchukuliwa hatua.
 
mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.

askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Mkuu unashangaa nini zawadi?mauaji ya zanzibar 2001 yule alieyaongoza hakuzawadiwa?ni Tibaigana au Said Mwema??kumbuka kijana!!!
 
..kwa wenzetu huyu jamaa aliyeua na wenzake ambao hawakumzuia asiue wamechukuliwa hatua za kisheria.

..nilivyoangalia tukio la mwangosi nilishawishika kwamba hata kamanda aliyekuwepo eneo la tukio alistahili kuchukuliwa hatua.
hakuna kitu cha hivyo.

huyu jamaa wenzake walichukuliwa hatua,maana alichokifanya kumkandamiza jamaa pale chini zaidi ya dakika 8 kilikuwa ni kitendo ambacho ni kinyume 100% na utendaji wa kazi.hata mtoto mdongo angeamua kumzuia kama angepata nafasi,ila wale wakawa wanamtizama tu.

scenario ni tofauti kwa mwangosi,kamanda yuko na askari wengi wako na vifaa,mar mwangosi anafanya aliyoyafanya wakati akiwa anadhibitiwa,askari anamwelekezea mtutu na kumripua.kosa ni lake yeye peke yake,maana tayari alikuwa chini ya ulinzi,na haikuwezekana wengine kumzuia askari yule maana ni kitendo ambacho hakikumaliza hata sekunde tatu.ni kama alifanya kwa uzembe.
 
Kamanda Kamuhanda alihamishiwa mkoa mwingine baada ya mauaji ya Mwangosi.

..kamuhanda alikuwa ameshaazimia kuwapiga chadema.

..Asingeondoka eneo lile bila kuwafanya kitu mbaya chadema.

..Nendeni mkaangalie video clips za kilichotokea siku ile.
 
Mkuu unashangaa nini zawadi?mauaji ya zanzibar 2001 yule alieyaongoza hakuzawadiwa?ni Tibaigana au Said Mwema??kumbuka kijana!!!
zanzibar waliuawa waharifu waliokuwa tayari kuua askari na watu wengine.

kama hujui askari kadhaa waliuawa.
 
hakuna kitu cha hivyo.

huyu jamaa wenzake walichukuliwa hatua,maana alichokifanya kumkandamiza jamaa pale chini zaidi ya dakika 8 kilikuwa ni kitendo ambacho ni kinyume 100% na utendaji wa kazi.hata mtoto mdongo angeamua kumzuia kama angepata nafasi,ila wale wakawa wanamtizama tu.

scenario ni tofauti kwa mwangosi,kamanda yuko na askari wengi wako na vifaa,mar mwangosi anafanya aliyoyafanya wakati akiwa anadhibitiwa,askari anamwelekezea mtutu na kumripua.kosa ni lake yeye peke yake,maana tayari alikuwa chini ya ulinzi,na haikuwezekana wengine kumzuia askari yule maana ni kitendo ambacho hakikumaliza hata sekunde tatu.ni kama alifanya kwa uzembe.

..naheshimu mawazo yako.

..lakini mimi ningekuwa waziri wa mambo ya ndani au igp ningemshauri amiri jeshi mkuu angalau amstaafishe kwa manufaa ya umma kamanda kamuhanda.

..kamunda ndiye aliye-escalate tukio lile mpaka kukatokea vurugu zilizopelekea daudi mwangosi kuuwawa na wanachama wa chadema kuumia.
 
mkorinto,

..umesema mwangosi alikuwa " anadhibitiwa. "

..kwanini alikuwa "anadhibitiwa" wakati yeye ni muandishi wa habari?

..mimi kwa maoni yangu askari zaidi ya mmoja walitakiwa wachukuliwe hatua.

..Kamanda Kamuhanda pia alitakiwa achukuliwe hatua.
 
..kamuhanda alikuwa ameshaazimia kuwapiga chadema.

..Asingeondoka eneo lile bila kuwafanya kitu mbaya chadema.

..Nendeni mkaangalie video clips za kilichotokea siku ile.
Hata yale mauaji ya Arusha ingekuwa nchi zenye kuheshimu utawala wa sheria Said Mwema angekuwa jela sasa hivi. Ilikuwa moja ya mambo yaliyonisukuma kupinga kwa nguvu zote ujio wa lowasa 2015.
 
mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.

askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Kuna Mwangosi, Aquilina, kuna Ben Saa8, na watu wengine wengi wamekufa Tanzania! Kama akili yako haijasimama mahala, au haijapikwa ukala, taja Askari alihukumiwa kwa kuonea au kuuwa raia!!
 
Sema pia hawa ndugu zetu weusi huko Marekani ni wakorofi sana. Huwa hawakubali kutii sheria bila shuruti. Wakisimamishwa na polisi huwa ni wabishi na wababe balaa. Ndiyo maana huwa wanauliwa kizembe maana polisi akizubaa tu anauliwa yeye.

Ukorofi wao ndiyo huwapelekea polisi kutumia nguvu kubwa sana wanapo wadhibiti.
 
hakuna kitu cha hivyo.

huyu jamaa wenzake walichukuliwa hatua,maana alichokifanya kumkandamiza jamaa pale chini zaidi ya dakika 8 kilikuwa ni kitendo ambacho ni kinyume 100% na utendaji wa kazi.hata mtoto mdongo angeamua kumzuia kama angepata nafasi,ila wale wakawa wanamtizama tu.

scenario ni tofauti kwa mwangosi,kamanda yuko na askari wengi wako na vifaa,mar mwangosi anafanya aliyoyafanya wakati akiwa anadhibitiwa,askari anamwelekezea mtutu na kumripua.kosa ni lake yeye peke yake,maana tayari alikuwa chini ya ulinzi,na haikuwezekana wengine kumzuia askari yule maana ni kitendo ambacho hakikumaliza hata sekunde tatu.ni kama alifanya kwa uzembe.
Hata Wewe unaye tetea maovu, unastahili kuchukuliwa hatua!
 
Kuna Mwangosi, Aquilina, kuna Ben Saa8, na watu wengine wengi wamekufa Tanzania! Kama akili yako haijasimama mahala, au haijapikwa ukala, taja Askari alihukumiwa kwa kuonea au kuuwa raia!!
mwangosi askari alihukumiwa miaka 10 jela,kama haukuwa na simu bado.

aquilina,ben saa8 na watu wengine bado sijui waliuawa na askaari yupi wa tz???
 
mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.

askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Unajisahaulisha mdogo wake John heche aliuawa na polisi kwa kuchomwa na kisu akiwa kituoni Tena amefungwa pingu Kama huyo...usiwe mwepesi wa kupinga watu Wana maumivu na vitendo vya polisi(sio wote) wanaodhulumu haki za raia hata Kama wamewakamata na makosa
 
sipo hapa kutetea mtu,ndio maana nikakwambia labda hujui ama umeamua tu kuwa kichwa ngumu.

askari wanashtakiwa na kufungwa kila mara kwa makosa kama haya,au labda unataka wafanywaje ndipo ukubali!!!

kusema tu askari hawachukuliwi hatua kwa mauaji huitendei haki hata akili yako,maana kaka ni rahisi hivyo wangeshakipasua hata wewe yaani.
 
Back
Top Bottom