Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kwa Mwangosi ilikuwaje? Ulikuwa mtoto mdogo bado?mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Mwangosi ilikuwaje? Ulikuwa mtoto mdogo bado?mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
nikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!Kwa Mwangosi ilikuwaje? Ulikuwa mtoto mdogo bado?
Labda mkuu. Siwezi kushupaza shingo Sana maana yawezekana ulichokiandika kina ukweli. Ila kesi zao na hukumu zao zingekua zinawekwa wazi wasitufiche. Ndio maana wananchi wengi huenda tunalalamika.sipo hapa kutetea mtu,ndio maana nikakwambia labda hujui ama umeamua tu kuwa kichwa ngumu.
askari wanashtakiwa na kufungwa kila mara kwa makosa kama haya,au labda unataka wafanywaje ndipo ukubali!!!
kusema tu askari hawachukuliwi hatua kwa mauaji huitendei haki hata akili yako,maana kaka ni rahisi hivyo wangeshakipasua hata wewe yaani.
yaani mkuu ili uhuku kwa haki lazima uwe kati usichague kwa kuelekea.Labda mkuu. Siwezi kushupaza shingo Sana maana yawezekana ulichokiandika kina ukweli. Ila kesi zao na hukumu zao zingekua zinawekwa wazi wasitufiche. Ndio maana wananchi wengi huenda tunalalamika.
Aliyemuua Aquilina yuko wapi ?mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.
askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
wewe unamjua??Aliyemuua Aquilina yuko wapi ?
Kwa maneno kila kitu kinawezekana ila kiuhalisia sio hivyoHapana Mkuu ifike muda pigania uhai wako kwa njia yoyote ile sijui wewe binafsi ila mimi kama mimi natakiwa kujiokoa basi nitafanya kitu aidha nitapoteza au nitashinda ivo Mkuu wangu tufunge mjadala
Na kuna mtu kachukua video polisi wala hawajali sasa wachukue video polisi wa bongo uone balaa lake
Duuuh! Miaka 6 tu? Wakati familia ya mwangosi ikitaabika mtafuta ugali kauliwa familia ya askari ilineemeka kwa mama kupewa ajiranikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!
Asante mkuu. Kwangu umemaliza. Nimekuelewa!!yaani mkuu ili uhuku kwa haki lazima uwe kati usichague kwa kuelekea.
askari akifanya utumbo ni muuaji tu kama wengine.
ukiona kuna utata ni upelelezi haukutosha tu,no way.
Tanzania inasifika kwa upelelezi lakini imeshindwa kubaini matukio ya wazi kiasi kile?wewe unamjua??
mkuu hukumu za kimahakama haziendi kwa hisia,ndio maana huwa tunasema mahakama pekee sio kituo cha kutoa haki kwa haki.Tanzania inasifika kwa upelelezi lakini imeshindwa kubaini matukio ya wazi kiasi kile?
ajira gani tena mkuu!!!Duuuh! Miaka 6 tu? Wakati familia ya mwangosi ikitaabika mtafuta ugali kauliwa familia ya askari ilineemeka kwa mama kupewa ajira
Nisingeulizawewe unamjua??
pekeka ushahidi mahakamani haki ipatikane,nadhani kesi iko mikononi mwa wakili mzoefu kabisa kibatala.Nisingeuliza
Waliomtesa Ulimboka walishtakiwa wapi? Mmoja amekuwa Mbunge.Kwa hapa ni sera ya chama tawala. Kwa Mwendazake ilipewa sana kipaumbele. Hapa kwetu huyo askari angezawadiwa, kwa wenzetu haki inatendeka...anakamatwa, anashtakiwa na anahukumiwa...
View attachment 1830928
Hakuna mtu anataka kusema polisi wote ni wabaya, au wote ni wauaji, lakini pia huwezi kusema jeshi letu halina uovu! Maovu ya hapa ni makubwa kuliko Marekani, tofauti ni kwa kuwa kule kuna uhuru mpana wa upashanaji habari kuliko hapa! Sisi tunapikiwa Habari wanazotaka, Hata Mwangosi aliuwawa wakati akitekeleza jukumu lake la mwanahabari!mwangosi askari alihukumiwa miaka 10 jela,kama haukuwa na simu bado.
aquilina,ben saa8 na watu wengine bado sijui waliuawa na askaari yupi wa tz???
Kuna comment nyingine umesema alifungwa miaka 10, hapa 6! Unaonekana Wewe ulikuwa na simu lakini ya Kichina, ilikuwa haikupi taarifa sahihi!nikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!