Alichofanya huyu askari kinafanyika sana hapa Tanzania ila askari wa hapa kwetu wanalindwa sana

Alichofanya huyu askari kinafanyika sana hapa Tanzania ila askari wa hapa kwetu wanalindwa sana

Kwa Mwangosi ilikuwaje? Ulikuwa mtoto mdogo bado?
nikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!
 
sipo hapa kutetea mtu,ndio maana nikakwambia labda hujui ama umeamua tu kuwa kichwa ngumu.

askari wanashtakiwa na kufungwa kila mara kwa makosa kama haya,au labda unataka wafanywaje ndipo ukubali!!!

kusema tu askari hawachukuliwi hatua kwa mauaji huitendei haki hata akili yako,maana kaka ni rahisi hivyo wangeshakipasua hata wewe yaani.
Labda mkuu. Siwezi kushupaza shingo Sana maana yawezekana ulichokiandika kina ukweli. Ila kesi zao na hukumu zao zingekua zinawekwa wazi wasitufiche. Ndio maana wananchi wengi huenda tunalalamika.
 
Labda mkuu. Siwezi kushupaza shingo Sana maana yawezekana ulichokiandika kina ukweli. Ila kesi zao na hukumu zao zingekua zinawekwa wazi wasitufiche. Ndio maana wananchi wengi huenda tunalalamika.
yaani mkuu ili uhuku kwa haki lazima uwe kati usichague kwa kuelekea.
askari akifanya utumbo ni muuaji tu kama wengine.

ukiona kuna utata ni upelelezi haukutosha tu,no way.
 
Hapana Mkuu ifike muda pigania uhai wako kwa njia yoyote ile sijui wewe binafsi ila mimi kama mimi natakiwa kujiokoa basi nitafanya kitu aidha nitapoteza au nitashinda ivo Mkuu wangu tufunge mjadala
Kwa maneno kila kitu kinawezekana ila kiuhalisia sio hivyo
 
nikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!
Duuuh! Miaka 6 tu? Wakati familia ya mwangosi ikitaabika mtafuta ugali kauliwa familia ya askari ilineemeka kwa mama kupewa ajira
 
Nikweli, watu wengi wanakufa mikononi mwa Police ila wanalindana sana
 
Tanzania inasifika kwa upelelezi lakini imeshindwa kubaini matukio ya wazi kiasi kile?
mkuu hukumu za kimahakama haziendi kwa hisia,ndio maana huwa tunasema mahakama pekee sio kituo cha kutoa haki kwa haki.

kuna wakati kinamiss target vile vile.
 
mwangosi askari alihukumiwa miaka 10 jela,kama haukuwa na simu bado.

aquilina,ben saa8 na watu wengine bado sijui waliuawa na askaari yupi wa tz???
Hakuna mtu anataka kusema polisi wote ni wabaya, au wote ni wauaji, lakini pia huwezi kusema jeshi letu halina uovu! Maovu ya hapa ni makubwa kuliko Marekani, tofauti ni kwa kuwa kule kuna uhuru mpana wa upashanaji habari kuliko hapa! Sisi tunapikiwa Habari wanazotaka, Hata Mwangosi aliuwawa wakati akitekeleza jukumu lake la mwanahabari!
Lakini labda kwa sababu Wewe ni sukumagang, labda unafikiri hayawezi kukufika! Mambo hubadilika, kuna siku utabinywa mayai ya mbegu, ndo utaelewa wanacho sema watu hapa!
 
Tanzania tulifikia hatua Mbaya sana, asante Mwenyezi Mungu kutunusuru walau sasa kidogo tunapumua kwa mbaaali.
 
nikuulize wewe kama ulikuwa shule au simu bado ilikuwa changamoto,askari kafungwa miaka 6 tokea 2016,na muda wote alikuwa segerea.au ulitakaje mkuu!!!
Kuna comment nyingine umesema alifungwa miaka 10, hapa 6! Unaonekana Wewe ulikuwa na simu lakini ya Kichina, ilikuwa haikupi taarifa sahihi!
 
Back
Top Bottom