What your words mkuu, hatuna makamu wa rais alie O levelWa hovyo ni ninyi mnaomkuza Pierre. Na makonda kawakemea watu wa hovyo kama ninyi. Tena watoto. Hakuna mtu mwenye age ya 40 above na ana akili timamu na kazi za kufanya, akakaa kukomaa kumfanya pierre atrend, zaid ya vitoto vya form 4 mpk chuo na tecno zao
Wakiwepo wajinga kama soud brown ambao taifa hili kimezalisha
Dumelang
Dont elevate stupidy kwa maneno ya makamu wa RaisWhat your words mkuu, hatuna makamu wa rais alie O level
Sent using Brain
Ukisoma maneno ya konk utajua kuna kitu ndani yake upeo wake wa akili ni mkubwa kushinda vile tunavyodhani maneno aliyo yatoa ni makubwa sana na mazito sana kiubinadamu na kiimani.binadamu tunasahau tulipotoka na kusahau waliotuweka hapa tulipo.makonda kajibiwa kisomi zaid na mzee was fireeeeee hapo ndipo tunajua fikra njema huwa zipo na busara zipo pia.tusimhukumu mtu kwa udhaifu wake huwa sipend unafki Leo konki wanamuona hafai je wanayofanya WCB na kina wema ndio yanapaswa kuchekewa?
We mkojolea nyuma mimi na wewe nani hana kazi za kufanya? Wewe mtoto mdogo uliekuja kuomba namna yakusevu kodi ya nyumba tena umelipa laki 2 miez 6, unaniita mie sina kazi? Respect ur rotten ass plsMimi hainiongezei wala kunipunguzia chochote sababu nadeal na maisha yangu ila wewe ambaye huna kazi ya kufanya na pia ni taahira na wivu ukimuona mtu kama Liquid roho inakuuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa mtu unajua Uwepo wa mungu usingesapoti alichofanya makondaDont elevate stupidy kwa maneno ya makamu wa Rais
Dumelang
Wewe kubali huna akili na ni taahira mtu mwenye life yake hawezi kuumia kisa liquid ni maarufu never everWe mkojolea nyuma mimi na wewe nani hana kazi za kufanya? Wewe mtoto mdogo uliekuja kuomba namna yakusevu kodi ya nyumba tena umelipa laki 2 miez 6, unaniita mie sina kazi? Respect ur rotten ass pls
Dumelang
So you elevate intelligence through who,bashteDont elevate stupidy kwa maneno ya makamu wa Rais
Dumelang
Moderator Paw Mhariri angalieni watu wa namna hii hapa waondolewe... Melo asije akaanza kusumbuliwaHuyu Bashite alikuwa analawitiwa na the late Samuel Sitta wakati anatafuta maisha! Habari zake tunazijua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu unakusumbuaHuwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Hapo sasa. MTU anaumizwa na umaarufu was Pierre Liquid ambaye hana shida na mtuWewe kubali huna akili na ni taahira mtu mwenye life yake hawezi kuumia kisa liquid ni maarufu never ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Well well unafahamu? Kama level za ujinga ukweli sitakufikia..Nilipokuwa mm hutakaaa kufika mpaka unakufa.alafu upeo wako ni mdogo mno kuweza kucheza na akili za watu.wew subir buku 7 tz mpigie debe mzee baba tu buku 7 ipande
Ulijiuliza kwann anamaliza form 4 halafu anauza uchi? Nchi ina rasilimali kedekede lkn wanaonufaika ni hao kina bashite wenye vyeti fake.Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?In my opinion, RC Makonda has committed a very serious insubordination in relation to the Vice President's fair comments on Pierre's contributions towards Taifa Stars' victory. Nani anayalinda hata,yenye udhalilishaji hata kwa wakuu wetu wa nchi?