Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Wa hovyo ni ninyi mnaomkuza Pierre. Na makonda kawakemea watu wa hovyo kama ninyi. Tena watoto. Hakuna mtu mwenye age ya 40 above na ana akili timamu na kazi za kufanya, akakaa kukomaa kumfanya pierre atrend, zaid ya vitoto vya form 4 mpk chuo na tecno zao
Wakiwepo wajinga kama soud brown ambao taifa hili kimezalisha
Dumelang
What your words mkuu, hatuna makamu wa rais alie O level

Sent using Brain
 
Ukisoma maneno ya konk utajua kuna kitu ndani yake upeo wake wa akili ni mkubwa kushinda vile tunavyodhani maneno aliyo yatoa ni makubwa sana na mazito sana kiubinadamu na kiimani.binadamu tunasahau tulipotoka na kusahau waliotuweka hapa tulipo.makonda kajibiwa kisomi zaid na mzee was fireeeeee hapo ndipo tunajua fikra njema huwa zipo na busara zipo pia.tusimhukumu mtu kwa udhaifu wake huwa sipend unafki Leo konki wanamuona hafai je wanayofanya WCB na kina wema ndio yanapaswa kuchekewa?
 
Kusiwe na double standards sasa, isiishie kwa walevi tu hata kwa viongozi wa hovyo nao tusiwape nafasi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi hainiongezei wala kunipunguzia chochote sababu nadeal na maisha yangu ila wewe ambaye huna kazi ya kufanya na pia ni taahira na wivu ukimuona mtu kama Liquid roho inakuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
We mkojolea nyuma mimi na wewe nani hana kazi za kufanya? Wewe mtoto mdogo uliekuja kuomba namna yakusevu kodi ya nyumba tena umelipa laki 2 miez 6, unaniita mie sina kazi? Respect ur rotten ass pls

Dumelang
 
In my opinion, RC Makonda has committed a very serious insubordination in relation to the Vice President's fair comments on Pierre's contributions towards Taifa Stars' victory. Nani anayalinda haya,yenye udhalilishaji hata kwa wakuu wetu wa nchi?
 
wagombanao ndio wapatanao....... Hii ni timing to... Liquid kazi zinakuja kuwa mpole unamuona Mondi unahitaji uvumilivu umaarufu una gharama zake na hayo ni mapito yake.....
 
We mkojolea nyuma mimi na wewe nani hana kazi za kufanya? Wewe mtoto mdogo uliekuja kuomba namna yakusevu kodi ya nyumba tena umelipa laki 2 miez 6, unaniita mie sina kazi? Respect ur rotten ass pls

Dumelang
Wewe kubali huna akili na ni taahira mtu mwenye life yake hawezi kuumia kisa liquid ni maarufu never ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
Wivu tu unakusumbua
 
Nilipokuwa mm hutakaaa kufika mpaka unakufa.alafu upeo wako ni mdogo mno kuweza kucheza na akili za watu.wew subir buku 7 tz mpigie debe mzee baba tu buku 7 ipande
Well well unafahamu? Kama level za ujinga ukweli sitakufikia..
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
Ulijiuliza kwann anamaliza form 4 halafu anauza uchi? Nchi ina rasilimali kedekede lkn wanaonufaika ni hao kina bashite wenye vyeti fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In my opinion, RC Makonda has committed a very serious insubordination in relation to the Vice President's fair comments on Pierre's contributions towards Taifa Stars' victory. Nani anayalinda hata,yenye udhalilishaji hata kwa wakuu wetu wa nchi?
Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?

Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.

Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.

Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?

kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu

Dumelang
 
Moja ya Jambo baya kwenye maisha Ni kujiona wewe ni Bora kuliko wote, haya Mambo ya kuhukumu kwa nje yametufanya tuwadharau wanaoishi na familia zetu( house boys and girls), yametufanya tuwadharau wasiosoma, yametufanya tuwadharau mafundi mchundo na vyuo vetu vya ufundi, yametufanya tuwadharau wakulima, yametufanya tuishi kwa kuabudiwa.

Kila kiumbe kimeletwa Duniani kwa sababu, naamini waliomlea Makonda wangemwona hafai toka utotoni Leo asingekuwa hapo alipo. Wapo watu wametufanya tuwe na adhi tulizonazo na tukijifanya kusau tulipotoka ndipo tunajikuta tunatoa kauli kama hizi za mkuu wa mkoa kwamba watu ovyo ndio wanaonekana maarufu.....unamwita binadamu mwenzio wa ovyo kwa sababu TU wapo wanaokutukuza....it pains kwa mkuu wa mkoa kutuona Watanzania ni watu wa ovyo.

Yamkini piere before hakuonekana wa muhimu kwenye familia yake lakini leo wapo anaowasomesha na kuwapa huduma mbalimbali.....uongoz ni busara na siyo ubaguzi, mkuu wa mkoa anaongoza masikini, matajiri na wenye uwezo.......Mkuu wa mkoa hapo umemkosea huyo kiumbe mwombe radhi na umwite umpe ajira au umfanyie cancelling kumtoa huko usikokupenda umweke kwenye level unayodhani inamfaa

Lakini pia acha wivu, umaarufu wa mtu unatengenezwa. Wewe kalewe utuambie konki uone Kama utakuwa maarufu....wakuondoe hapo kwenye ukuu wa mkoa urudi kujitegemea kama Kama Kuna atakayekuita viti vya mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190328-134208_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom