Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
What your words mkuu, hatuna makamu wa rais alie O levelWa hovyo ni ninyi mnaomkuza Pierre. Na makonda kawakemea watu wa hovyo kama ninyi. Tena watoto. Hakuna mtu mwenye age ya 40 above na ana akili timamu na kazi za kufanya, akakaa kukomaa kumfanya pierre atrend, zaid ya vitoto vya form 4 mpk chuo na tecno zao
Wakiwepo wajinga kama soud brown ambao taifa hili kimezalisha
Dumelang
Sent using Brain