Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Kwani wewe una kazi gani kwenye jamii zaidi ya KUNYA NA KUJAMBA tu! Bora hata Pierre anatuburudisha nafsi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Unawajua the Kardashians? Unajua wana pesa kiasi gani? Unajua wanachokifanya?

Hebu kila mtu afanye kile anachokipenda. Cha msingi asibugudhi wala asivunje sheria za nchi.

Sioni tofauti kati ya Pierre, Steve Nyerere, Le Mutuz na wale madanga wa Bongo movie ambao ndio watu wa karibu wa Makonda.


NB: Jokate ameshindwa kuitokomeza zero iliyokuepo ukumbini, ataziweza hizi za mtaani?

- KANA -
 
Mkuu,katika taratibu za kiutumishi, kauli za mkuu hazipingwi au kukosolewa waziwazi kama alivyofanya RC Makonda. Huo alioufanya, kwangu, ni ukosefu wa heshima na adabu kwa Makamu wa Rais. Huko ndiko hoja yangu ilipo. Sijajadili iwapo walevi wana maana au la.
 
Kwahiyo tuendelee kujenga taifa linalojenga watu kama akina Lemutuz, steve nyerere na akina Pierre? Kwamza si bora hata huyo steve nyerere anajulikana ni msanii katika yaifa hili na pengine katika kazi zake alisha na analipa kodi

Huyo Piere ni msanii wa nini? Analiingizia kipi taifa zaidi ya kuwa spoiler

Dumelang
 
Nchi lazima kuheshima life style ya raia wote as long as havunji sheria. Makonda simuelewi.
 
Jamaa ana roho mbaya sana usìkute hata hiyo program ya jokate tokomeza zero hakupendezwa nayo anatamani angeanzisha yeye
 
Unamfahamu Yule Mkenya aliyepata umaarufu kwa kubeba chakula aina ya Makande kwenye foleni ya kupiga kura ?
Yafungeni basi na Magazeti ya Udaku.
Nyie Watukufu acheni kumwangalia Piere.
Sisi tunapenda kumwangalia na anatufurahisha.
Na umaarufu tumempa sisi tunaye mpenda na sio yeye kwamba ameutafuta kwa kutushawishi.
Sisi ndio tuliomshawishi na tukamrekodi kama tunavyorekodi Komedi nyingine.
Mnatuharibia biashara zetu.
Mnataka tukaibe ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hainiongezei wala kunipunguzia chochote sababu nadeal na maisha yangu ila wewe ambaye huna kazi ya kufanya na pia ni taahira na wivu ukimuona mtu kama Liquid roho inakuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu sana

Mtu asiekuwa na faida na jamii,bali ni muharibifu wa maadili

Kisha wanatokea baadhi na kumsapoti

Ni kwa lipi hasa,mpaka aonewe wivu?!!!

Kweli,kuna watu na viatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba na sheria zinasema Fanya chochote mradi usivunje sheria, jamaa wa watu hakuna mahali kavunja sheriae, kabuni kanjia Kake ka kupata ridhiki m mmeshaanza kumwonea wivu mashetani nyie...... Ambieni hilo shoga liache wivu wa kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siyo lazima wote mumpende likwidi, kuna ambao tunafurahia comedy zake hata kama hazichekeshi n ujue tuu his time is now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…