Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi una akili kunizidi?Wewe kubali huna akili na ni taahira mtu mwenye life yake hawezi kuumia kisa liquid ni maarufu never ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe una kazi gani kwenye jamii zaidi ya KUNYA NA KUJAMBA tu! Bora hata Pierre anatuburudisha nafsi!Heko heko makonda
Alichokifanya Makonda ni kitu sahihi na ni jambo la ushujaa ambalo limekuwa katika mioyo ya watanzania wengi.bila kukosea hata hapa kuna uzi tulilijadili hili suala la kujenga taifa la wajinga.Tanzania imekuwa ikifanywa jamii ya wajinga.na haya yamekuwa yakichochewa na waandishi wapuuzi wachache.Nasema sijawahi kuupenda mfumo wa uongozi wa Makonda ila kwa la jana.Ninakupongeza kwa dhati yangu.
Asante kwa kukemea upuuzi huu ambao umeanza kushika kasi katika jamii yetu.. baadhi ya waandishi kuacha vitu vya msingi na kukuza upuuzi.anzia kwa bwana Shika,na huyo dada aliyeweka video za ufirauni mtandaoni. Mpaka kwa huyu mlevi.juzi alitumiwa mpaka na wadau kuhamasisha ushindi wa taifa stars.. kweli kwa vigezo vipi, tujiulize.je wachezaji wa zamani waliofuzu Afcon Kwa mara ya kwanza hawakuwepo ama wadau wanaojitoa kwa ajili ya mpira wa nyumbani hawakuwepo..huo ni mwendelezo wa kutetea upuuzi.kwa kulikemea hili jambo nakuunga mkono bwana Makonda.Alafu uje uwageukie hawa waandishi wa taarifa za habari wa YouTube channel.hawa ndio vyanzo vikuu vya kukuza ujinga huu katika jamii.na hata kupotosha watoto wadogo wanaokua.
Unawajua the Kardashians? Unajua wana pesa kiasi gani? Unajua wanachokifanya?Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Kwaio tuendelee kukuza kizazi kinachotafuta ajira kama za akina ambaruty instagram? SioUlijiuliza kwann anamaliza form 4 halafu anauza uchi? Nchi ina rasilimali kedekede lkn wanaonufaika ni hao kina bashite wenye vyeti fake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutisha watu wewe kigagula! Shubaamit! Kama unaumia tengeneza mtandao wako uwe unachati na bashite wako!
Mkuu,katika taratibu za kiutumishi, kauli za mkuu hazipingwi au kukosolewa waziwazi kama alivyofanya RC Makonda. Huo alioufanya, kwangu, ni ukosefu wa heshima na adabu kwa Makamu wa Rais. Huko ndiko hoja yangu ilipo. Sijajadili iwapo walevi wana maana au la.Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?
Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.
Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.
Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?
kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu
Dumelang
Kwahiyo tuendelee kujenga taifa linalojenga watu kama akina Lemutuz, steve nyerere na akina Pierre? Kwamza si bora hata huyo steve nyerere anajulikana ni msanii katika yaifa hili na pengine katika kazi zake alisha na analipa kodiUnawajua the Kardashians? Unajua wana pesa kiasi gani? Unajua wanachokifanya?
Hebu kila mtu afanye kile anachokipenda. Cha msingi asibugudhi wala asivunje sheria za nchi.
Sioni tofauti kati ya Pierre, Steve Nyerere, Le Mutuz na wale madanga wa Bongo movie ambao ndio watu wa karibu wa Makonda.
NB: Jokate ameshindwa kuitokomeza zero iliyokuepo ukumbini, ataziweza hizi za mtaani?
- KANA -
Hivi anaetangaza na kujitapa hadharani kuwa atshusha bei za pombe iwe nusu na yule anaekunywa hizo bia nani ni bad example?Makonda is right
Pierre is another bad example
Jamaa ana roho mbaya sana usìkute hata hiyo program ya jokate tokomeza zero hakupendezwa nayo anatamani angeanzisha yeyeKosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Hata hivyo ukiangalia kiundani alietukanwa hapo na Makonda ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate aliemwalika Pieri Likwid Konk.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Unamfahamu Yule Mkenya aliyepata umaarufu kwa kubeba chakula aina ya Makande kwenye foleni ya kupiga kura ?Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Tumia busara ndugu mihemko isije ikakuponza.. Ni hayo tu kwa leoAcha kutisha watu wewe kigagula! Shubaamit! Kama unaumia tengeneza mtandao wako uwe unachati na bashite wako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu sanaMimi hainiongezei wala kunipunguzia chochote sababu nadeal na maisha yangu ila wewe ambaye huna kazi ya kufanya na pia ni taahira na wivu ukimuona mtu kama Liquid roho inakuuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inashangaza kweli.Mpaka sasa ukiniambia huyu likwidi ni maarufu huwa najiuliza ni umaarufu gani alionao?Siuoni,hebu Watanzania wenzangu tuwe siriazi na vitu vyenye tija badala ya kushabikia upuuzi kama huu wa likwidi.
Umaarufu wa kiwango cha lami(usio na tija) + ushabiki wa kiwango cha lami (usio na maono) = upuuzi mtupu wa likwidi tunaoushabikia@ waziri wa mashariki kama sio kaskazini bado tunachangamoto kama Wa-tz kwa kushabikia petty things.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Bashite.Tumia busara ndugu mihemko isije ikakuponza.. Ni hayo tu kwa leo