Wewe ni mjinga mara mbili yangu.wewe ni mjinga na pia upo less informed kuhusu social affairs za kenya.
hebu jaribu kufatilia habari zinazohusu mtu anayeitwa githeriman.
huyu hapa yupo na mtangazaji maarufu wa kenya jeff koinange. View attachment 1058807
Report ya CAG imepokelewa kama dawa za kulevya.. Kudaadek mamaa Konki fayaaToo late for that mzee, ule ni ushauri tu, hauwez kumshurutisha mtu, yapo mambo mengi ya msingi ya kutufanya tuwe pamoja mfano mzuri ni report ya CAG hiyo ni big thing lakini umeona hata mahali inazungumziwa kuanzia tbc mpaka vyanzo vyote vya serikali. Ukiona wananchi wanapenda hivyo vitu ujue wamechoka na upuuzi na maigizo yanayoendelea
Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
Nna uhakika wewe ni mtu wa mikoani mkuu.Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
Hivi ni kwamba unataka hii nchi watu wasifurahi kabisa? Yaan mtu umemaliza kazi zako za kujenga taifa, jioni unarudi umechoka unaamua hata ngoja niingie mitandaoni nicheke huko nako Kuwe ni mambo serious tu? Tupo nyuma ndio, tunahitaji kufanya kazi zaidi ndio, lakini sisi ni taifa huru, tunahitaji furaha la muhimu tuzingatie maadili.They are serious on issues than us. Tunataka au hatutaki. Kenya ni East African Business Hub.
Kenya wana uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote Afrika Mashariki.
Kenya wana safaru yenye Nguvu kuliko sisi. Kenya wanafanya kazi uwezi linganisha na sisi.
Sasa usipojiringanisha na jirani mnaefanana unataka tukajiringanishe na Marekani?
Dumelang
Anafanya kazi ipi nzuri?Hiyo isiyokuwa na job description na performance indicator?Huyu Bwana ni zero zero kweli.Konki wa watu kamkosea nini zaidi ya wivu wa kitoto na kutopenda maendeleo kulikochagizwa na family background.Huyu bwana siku cheo chake na hao wanaompa kiburi wakidondoka atapata taaabhu kweli kweli.Yaani kuna watu watamf#$%@aNimeona alichozungumza makonda Jana, na hiki ndicho kinachoakisi mawazo ya watawala wetu wengi..
Nini kosa la Pierre "Konki liquid", Amevunja Sheria gani ya nchi?.
Makonda hajui kwamba Pierre ni comedian na anaitumia Sanaa yake kupitia pombe?, Kati ya Pierre na msiba ni nani ni mtu wa hovyo kwa taifa hili?
Makonda, umemkosea Pierre sijui alijisikiaje konki liquid baada ya kudhalilishwa kule na yeye akiwepo, pamoja na kwamba una cheo kumzidi lakini hukupaswa kumdhalilisha vile, ungepaswa kutumia busara na hekima za kiuongozi., Sidhani Kama vituko na media kumtangaza Pierre ndivyo vinavyosababisha kuporomoka kwa maadili na kujenga kizazi Cha hovyo hapa nchini, sio kweli tusimsingizie Pierre ambae anahangaika na ubunifu wake wa kutumia pombe kuutafta mkate wake.
Walikuwepo wasanii akina John walker, utofauti wa Hawa wawili mmoja ni msanii wa music na mwingine comedian.., Kaka makonda unafanya kazi nzuri ila unakosa hekima na busara., Kwa kauli yako ya Jana kampuni nyingi zitasitisha mkataba na huyu bwana unaeenda kumrudisha kwenye umaskini .. hakika hii ni dhambi, huyu hajaiba, hajakwepa kodi na Wala sio mla rushwa, hakustahili udhalilishaji uliomfanyia.
Anyway nyie ndo Aina ya Viongozi mnaotupeleka Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati...Pole kwako konki liquid kwa hili najua wameshakupoteza tayari, ila mungu yupo anaweza kukutoa kivingine.. hakuna ridhiki inayozimwa na binadamu
Piere ni entertainer hata huku mamtoni wapo . Kitendo alichokifanya Bashite ni cha kulaaaniwa. Huwezi mu attack mtu bila kosa tena akiwepo.sio vizur kabisa
Baada ya kuona umeandika hivi "Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement"Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?
Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.
Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.
Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?
kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu
Dumelang
Kwasababu bongo ni taifa la wajinga That's fineHuyu mtu anadharau sana. Hata kuna kikao kimoja katika ziara yake ya Dar aliwahi kumkashifu dada mmoja mtendaji wa manispaa kuwa ni kichaa. Ni kiongozi pekee anayeweza kufanya na kusema lolote baya lakini asiguswe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwamba jamaa ni zero..Anafanya kazi ipi nzuri?Hiyo isiyokuwa na job description na performance indicator?Huyu Bwana ni zero zero kweli.Konki wa watu kamkosea nini zaidi ya wivu wa kitoto na kutopenda maendeleo kulikochagizwa na family background.Huyu bwana siku cheo chake na hao wanaompa kiburi wakidondoka atapata taaabhu kweli kweli.Yaani kuna watu watamf#$%@a
Baada ya kuona umeandika hivi "Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement"
Bhasi shishangai tena unavyochangia
Sent using Brain