Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
 
Too late for that mzee, ule ni ushauri tu, hauwez kumshurutisha mtu, yapo mambo mengi ya msingi ya kutufanya tuwe pamoja mfano mzuri ni report ya CAG hiyo ni big thing lakini umeona hata mahali inazungumziwa kuanzia tbc mpaka vyanzo vyote vya serikali. Ukiona wananchi wanapenda hivyo vitu ujue wamechoka na upuuzi na maigizo yanayoendelea
Report ya CAG imepokelewa kama dawa za kulevya.. Kudaadek mamaa Konki fayaa
 
Kati ya Pierre na makonda, nani wa hovyo?
Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
 
Wakuu, mtakumbuka hivi karibu makamu wa rais akiwa pale ikulu alimsifia pierre liquid, sasa kaibuka makonda akimponda pierre na watu wanaomsifia na kumpa umaarufu kwamba ni watu wa hovyo. Mtu wa hovyo pierre kusifiwa sehemu nyeti kama ikulu, sifa zikitoka kwa mheshimiwa namba mbili wa nchi tena mheshimiwa namba 1 (rais) akiwepo, na waziri mkuu kupiga makofi baada ya pongezi kutolewa, sasa inakuwaje makonda anamsema hadharani huyo mtu ni wa hovyo huku akiwalaumu wanaompa umaarufu. Je ina maana makamu wa rais ni wa hovyo?!
Jamani hii sio dharau kweli?!! Kama sio dharau ni nini?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda amedhihirishia umma wa watanzania jinsi upeo wake wa ustaarabu ulipofikia.

Konkidizer liquid nitrogen msanii anayejitafutia riziki watu wanapenda anachokifanya na ana trend mpaka kapata mualiko wa diaspora kwenda Texas.

Huyu ni nyota sawa na Maalim Seif alivyonanyota. Hata ukijiinua mabega, huwakuti watu wenye nyota ya aina hii. inaitwa God's favour au kibali.

Ni Kama yeye Hana cheti halali lakini Ana kibali leo kawa juu hata ya mawaziri. Wakati ukuta hakuna aliyejua leo Kamishna Kitilya atakula ugali wa maharage mahabusu.

# Wakatiukuta
#Worldgoround
#Backbenchersdocomefrontseat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
Nna uhakika wewe ni mtu wa mikoani mkuu.
How come udandie ile habari ya takataka bila kuichunguza,
Anyway ile ilikua ni clip ndefu,short version ndo imesambaa but muandishi ndo almuomba jamaa aigize kama ana dharau, ndo aka act vile .
Simple and clear

Sent using Brain
 
They are serious on issues than us. Tunataka au hatutaki. Kenya ni East African Business Hub.

Kenya wana uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote Afrika Mashariki.

Kenya wana safaru yenye Nguvu kuliko sisi. Kenya wanafanya kazi uwezi linganisha na sisi.

Sasa usipojiringanisha na jirani mnaefanana unataka tukajiringanishe na Marekani?

Dumelang
Hivi ni kwamba unataka hii nchi watu wasifurahi kabisa? Yaan mtu umemaliza kazi zako za kujenga taifa, jioni unarudi umechoka unaamua hata ngoja niingie mitandaoni nicheke huko nako Kuwe ni mambo serious tu? Tupo nyuma ndio, tunahitaji kufanya kazi zaidi ndio, lakini sisi ni taifa huru, tunahitaji furaha la muhimu tuzingatie maadili.
 
Nimeona alichozungumza makonda Jana, na hiki ndicho kinachoakisi mawazo ya watawala wetu wengi..

Nini kosa la Pierre "Konki liquid", Amevunja Sheria gani ya nchi?.
Makonda hajui kwamba Pierre ni comedian na anaitumia Sanaa yake kupitia pombe?, Kati ya Pierre na msiba ni nani ni mtu wa hovyo kwa taifa hili?

Makonda, umemkosea Pierre sijui alijisikiaje konki liquid baada ya kudhalilishwa kule na yeye akiwepo, pamoja na kwamba una cheo kumzidi lakini hukupaswa kumdhalilisha vile, ungepaswa kutumia busara na hekima za kiuongozi., Sidhani Kama vituko na media kumtangaza Pierre ndivyo vinavyosababisha kuporomoka kwa maadili na kujenga kizazi Cha hovyo hapa nchini, sio kweli tusimsingizie Pierre ambae anahangaika na ubunifu wake wa kutumia pombe kuutafta mkate wake.

Walikuwepo wasanii akina John walker, utofauti wa Hawa wawili mmoja ni msanii wa music na mwingine comedian.., Kaka makonda unafanya kazi nzuri ila unakosa hekima na busara., Kwa kauli yako ya Jana kampuni nyingi zitasitisha mkataba na huyu bwana unaeenda kumrudisha kwenye umaskini .. hakika hii ni dhambi, huyu hajaiba, hajakwepa kodi na Wala sio mla rushwa, hakustahili udhalilishaji uliomfanyia.

Anyway nyie ndo Aina ya Viongozi mnaotupeleka Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati...Pole kwako konki liquid kwa hili najua wameshakupoteza tayari, ila mungu yupo anaweza kukutoa kivingine.. hakuna ridhiki inayozimwa na binadamu
Anafanya kazi ipi nzuri?Hiyo isiyokuwa na job description na performance indicator?Huyu Bwana ni zero zero kweli.Konki wa watu kamkosea nini zaidi ya wivu wa kitoto na kutopenda maendeleo kulikochagizwa na family background.Huyu bwana siku cheo chake na hao wanaompa kiburi wakidondoka atapata taaabhu kweli kweli.Yaani kuna watu watamf#$%@a
 
Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?

Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.

Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.

Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?

kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu

Dumelang
Baada ya kuona umeandika hivi "Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement"
Bhasi shishangai tena unavyochangia

Sent using Brain
 
Umenena vyema!! Kampeni ya tokomeza zero ilimfanya ajisikie dhaifu na insecure! Akatafuta kichaka cha kujilinda kwa kumuaibisha Pierre!
 
Anafanya kazi ipi nzuri?Hiyo isiyokuwa na job description na performance indicator?Huyu Bwana ni zero zero kweli.Konki wa watu kamkosea nini zaidi ya wivu wa kitoto na kutopenda maendeleo kulikochagizwa na family background.Huyu bwana siku cheo chake na hao wanaompa kiburi wakidondoka atapata taaabhu kweli kweli.Yaani kuna watu watamf#$%@a
Hahaha kwamba jamaa ni zero..
Kamkosea Sana jamaa kwa kweli, kiongozi hufai kuwa vile yaani kaonesha yeye ndo wa hovyo kuliko Pierre
 
Na bora usishangae maana wewe si wa kwanza kunishangaa Dunia hii utakuwa unafanya Marudio tu
Baada ya kuona umeandika hivi "Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement"
Bhasi shishangai tena unavyochangia

Sent using Brain

Dumelang
 
UJUMBE KUTOKA KWA DIVA WA CLOUDS FM | 👉kama Umesoma Journalism as Proffesion kuna sehemu ile ya Nguzo za Habari. Hio tuiruke twende kwenye News values..any news that wil make newsworthy a content ndio habari ndio mana leo my nigga pierre ame take over kote lets jus mention few ...kwenye news values watu wanaangalia 1. impact 2. Timeliness. 3. Prominence 4.Proximity .5 conflict . 6. human interest - we all love crappy stories , iwe ni nyumban maskin sehemu ya kazi .... Sasa kama umesona Journalism vizuri nafikiri unaelewa sana umuhimu wa Pierre Liquid Master. msijisahaulishe . nasema Huyu ndio Nyota wa Mchezo na atabaki kuwa Juu!*** everybody say yeeah
 
Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!

mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre,

alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"

Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!

anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.

anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!

Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!

Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
 
Back
Top Bottom