Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Yeye mbona alipata zero lakini hakuna Aliemsuta palee???? unataka kutokomeza zero alafu unamuita bashite atoe ushauri ambae nae alipata Zero...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
dogo ni wivu tu kaona hakuna mwenye habari na mipango yake ya kipuuzi, watu wanajaribu kurejesha furaha kwa vituko vya piere jamaa imemuuma


kuna aibu kama yeye aliye pata ziro kuhamasisha watu watokomeze ziro
 

Jr[emoji769]
 
Bora sasa umeelewa akili yake ya kuwapromote machangu doa,wauza unga na watu wasiojitambua yaani wa ovyo kama wema,Diamond &Lemutuzi
 
Narudia it is paradoxical the most sober Tanzania ni "walevi".
 
U-hovyo wa mtu kipimo chake ni nini? Je, akiiba na kutumia vyeti vya mtu mwingine siyo wa hovyohovyo?
Hakuna kipimo U-hovyo.Kungekuwa na Kipimo Basi huyo Makonda nae angekuwa wa hovyo kuliko Piere Konki.
 
Bora sasa umeelewa akili yake ya kuwapromote machangu doa,wauza unga na watu wasiojitambua yaani wa ovyo kama wema,Diamond &Lemutuzi
Anashinda na wauza ungaa ambao aliwapekela mahakamani kabisaa... Malayaa wa kutupwaa kila siku kupost mapicha wanaliwa mitandaoni alafu hilo halioni kabisa anawaita kabisa wawe wanakamati mbwa kabisa yuleee.... Ilaa piere ndo amemuona kuwa ni mlevi wa hovyo??? Kweli ushoga upoo aisee...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe hapo ndo unaona umetoa point..... katoe kinyesi kwanza kwenye ubongo wako ndo ucomment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…