Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Ha2katai kiongoz kaz yk n kukemea mabaya na kucfia mazur ila kuna wkt mambo mabaya yacyo na madhara moja kwa moja na ambayo hayana 7bu wa2 km wakuu wa mikoa n vyema kuyapuuza na pengn unapocmama na kutoa kaul za kumdharirisha m2 moja kwa moja co za kufumbiwa macho...Na hii ingekua kipimo cha kumpima m2 na serikal ye2...Mm pia nlkua naomba kujua sheria inasemaje ukimdharirisha m2 hadharan ilo moja na jambo la pili mnisaidie pia kujua je,mkuu wa mkoa hashtakiwi?? km anashtakiwa kwa nn acshtakiwe kwa udhalilishaj??
 
Mtoa mada labda hukuelewa hoja ya makonda!!! Na kwakuwa watz tunamawazo yanayofanana pasipokufanya analysis wote tumeingia kwenye huu mkenge labda ni kwasababu makonda kaongea!!!

Nmemsikiliza vzr sana makonda na yeye alitoa ushauri kwa waandishi wa habar kwamba waweke kwenye front page habar ya mama mmja kuliko ya watu walevi sasa hapo kamdhalilisha kivipi???

Je huyu bwana kiuhalisia kipi cha maana akifanyacho??? Je tunataka kuandaa taifa la walevi??? Kwann ulevi wa huyu bwana ndo habar ya mjini ww huoni impact yake kwa vijana wetu???? Unaacha kushea habar ya wanafunzi kukaa chini drsan au kushea kipaji cha mtoto unaweka habar ya pierre front page ???? Una akili????

Ukweli ni kwamba watz tunaoenda mambo ya hovyo kabsa sioni tofauti ya huyu na dr shika !!

Nimeona watu humu wanashabikia ujinga eti anajitafutia kipato kwani huyu bwana tofauti yake na nabii tito i wapi?????

Sikatai kuwa na watu wa namna hiyo lakn kama taifa hatuwesi kuwekeza kwa watu kama hawa na maajabu unakuta waandishi wa habr ndo habar zao za mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
cheti bro
 
Ni Kweli Kabisa,
Hapo Mheshimiwa Rais Amechagua Mtu Makini Sana.
Na Sio Mtu Wa Hovyo Kama Piere.
Makofi Kwake Tafadhali. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Sent using Jamii Forums mobile app
Asiye na vyeti na kushiriki kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani ndiyo mtu wa hovyo sana hana ubinadamu
 
Acha Mheshimiwa aendelee kumlea huyu mtu atakuja kum uumbua siku moja
Bashite Maliyamungu ndiye mtu wa hovyo kutwa anashinda na cyprian Musiba na Le mutuz watu wa hovyo hovyo sana unategemea watamshauri nini?
 
Ha2katai kiongoz kaz yk n kukemea mabaya na kucfia mazur ila kuna wkt mambo mabaya yacyo na madhara moja kwa moja na ambayo hayana 7bu wa2 km wakuu wa mikoa n vyema kuyapuuza na pengn unapocmama na kutoa kaul za kumdharirisha m2 moja kwa moja co za kufumbiwa macho...Na hii ingekua kipimo cha kumpima m2 na serikal ye2...Mm pia nlkua naomba kujua sheria inasemaje ukimdharirisha m2 hadharan ilo moja na jambo la pili mnisaidie pia kujua je,mkuu wa mkoa hashtakiwi?? km anashtakiwa kwa nn acshtakiwe kwa udhalilishaj??

Sheria hairuhusu kiongozi wa Serikali kumdhalilisha yeyote mbele za watu na kama piere Liquid angetaka kumfungulia mashitaka Bashite Maliyamungu angeweza pengine ameogopa atamtumia wasiojulika kama alivyokwenda Dodoma kumpiga Risasi Tundu Lisu
 
Sijawahi ona Mtu wa Hovyoooooo..... kama.............
1. Ameghushi vyeti
2.Mnyanganyi
3.Mdhalilishaji
4.Akili za kukopa
5.Wivu wa kike
6.Roho ya kijicho
7.Amekosa nidhamu amelaaniwa na wazee aliowapiga
8.Anahusika na ukandamizaji wa haki na uhai wa watu
9.Mtetezi na Mlezi wa waimba matusi
10.Roho ya kaini
11.Hajui kujishusha
12.Huwaza kushinda tu
13.Hapendi kupingwa(amejipa Umungu Mtu akiwa duniani)
14.Mwonevu
15.Mtu mbaya
 
Ni aibu kubwa mno kutangaza nusu bei ya pombe and then uje uanze kulaani walevi kwa kulewa,acha unafiki Lucas philipo
Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!

Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???

Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????

Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!

Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa

Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mulipokuwa munatangaza nusu bei ya pombe mlitalaji nani anywe kama sio hao vijana ,au mulikuwa mnajenga picha gani kushusha bei ya pombe badala ya kushusha bei ya vyakula nk.hapo nani aliesapoti pombe zaidi ,muwe munaacha unafiki na bashite wako.

Mijitu imekaa kinafiki tu,hivi munawajua walevi nyinyi,huyo piere wala sio wakumtolea macho kama vile umekula kwenu,muacheni ,madawa ya kulevya yamewashinda na wakati yanaharibu vijana sembuse pombe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa mno kutangaza nusu bei ya pombe and then uje uanze kulaani walevi kwa kulewa,acha unafiki Lucas philipoMulipokuwa munatangaza nusu bei ya pombe mlitalaji nani anywe kama sio hao vijana ,au mulikuwa mnajenga picha gani kushusha bei ya pombe badala ya kushusha bei ya vyakula nk.hapo nani aliesapoti pombe zaidi ,muwe munaacha unafiki na bashite wako.

Mijitu imekaa kinafiki tu,hivi munawajua walevi nyinyi,huyo piere wala sio wakumtolea macho kama vile umekula kwenu,muacheni ,madawa ya kulevya yamewashinda na wakati yanaharibu vijana sembuse pombe,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamb wanatak kuuwa watu yn nusu bei
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inabid nicheke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshimu sana hawa mabaharia wanaopiga vyombo kwa sababu ikitokea wakaacha kunywa mshahara wako huo wa tarehe 19 utakua unaupokea tarehe 33 saa 3 na dakika 33 usiku
 
Back
Top Bottom