Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Ahamedi ali anahojiwa anasema baada ya kumkosa Azizi Ki na Adebayor sasa wanahamishia nguvu kwa Diara wa Mali,kumbe uongo ni kauli ya kuwapiga watu chenga ya mwili.
Mmepigwaaa na kitu kizito kumkichwa kwenye hili dili la K Aziz. Labda mtamuweza Aziz Ally. Save hii post mkuu.
 
wanatuchosha akili zetu tu hawa ni marafiki wanajua wanachofanya
 
Wasaa wa waandishi wa habari kufitinisha watu ndio huu, wasaa wa waandishi wa habari kutengeneza propaganda ndio huu,
Wasaa wa waandishi wa habari kutengeneza attention ndio huu, kuna mengi sana yataletwa katika kioindi hiki cha usajili.

Hayi barua iliyoandikwa, inaonsesha wazi kuwa aliyeandika ni mjinga na mpumbavu kiasi kikubwa kiasi kwamba hata kutengeneza kitu kinachofana na ukweli ameshindwa. Yaani nembo ya juu ni nembo ya simba ya sasa halafu muhuli chini kaweka simba wa zamani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…